grationmbelwa
New Member
- Apr 27, 2013
- 4
- 2
Raisi Jakaya Kikwete ameamua kuwa jaisiri na kutaka kila mtu abebe mzigo wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi hasa vingozi kwa kukataa kukikumbatia rushwa.
Aliwaweka wazi viongozi wenzake kuwa CCM lazima ife ikiwa watain'gang'ania rushwa. Nijuavyo mimi viongozi wa CCM hawawezi kuiacha rushwa hata wakitandikwa viboko hadharani kwakuwa imehaingia katika damu, hivyo kwa kuweka kumbukumbu sahihi, Raisi Kikwete kawakabidhi wana CCM chama chao kiwafie mikononi mwao na si katika mikono yake kama wengi walivyokuwa wanatabiri, hongera raisi Kikwete kwa kuruka kiunzi hiki.
Sasa nyinyi wana CCM watoa rushwa na waomba rushwa chagueni moja kuendelea na rushwa zenu na kuiua CCM au kuicha rushwa na mkainusuru CCM, naomba kuwasilisha