Raisi John anafaa sana mana amefanya yaliyowashinda

Nimehisi aibu baada ya kusoma na kuona picha zilizoambatanishwa! Bahati mbaya sana watanzania wengi hasa wa vijijini ni washamba namna hii na hawana hata dalili ya kubadilika! Yaani bado wapo kwenye usingizi wa pono.

Huku usukumani wao utawasikia "Ka-magufuli nchi kameipatia, kanaipeleka vizuri"... Ukimuuliza kwanini? Anajibu " kamenunua ndege" halafu anaishia hapo. Basi unabaki umemtizama tu na kumuacha.

Nilivyofika huku na kuisoma jamii ya ukanda huu, nimeacha hata kuongelea masuala ya siasa wala kumtaja jiwe. Nasikiliza tu wazee wanavyopongezana kupata rais wa kabila lao, halafu wakibadili topic wanaanza kulalama, utasikia..."maisha siku hizi yamekuwa magumu sana".. Nami najisemea tu moyoni "nyau ninyi, na bado"...

Ukiwakosoa na kupingana nao hasa Chattle, waweza jikuta mikononi mwa kitengo. Hivyo ni kuwa-ignore tu, tunawajibu huku JF
Kwakuwa wewe una akili nyingi sana ulitaka Rais afanyeje hasa ili nafsi yako iridhike?
 
Tukutoe ushamba, serikali ya sasa imefanya reallocation of funds bas, yan pesa ambayo kikwete alikua anawaongezea mishahara wafanyakaz na kuwapa mikopo wafanyakaz serikali ya sasa imeona ihamishie kwny hiyo mitakataka, ni kama ww ukijinyima kula vizur af ile hela uamue kununua TV.... Haya lala tena na upunguze ushamba
 
tatizo lako ni ushamba,jitahidi utembee tembee kidogo uone dunia ikoje utaweza kupanua upeo wako.
Ushamba ni huo wako wa kutaka akashangae na kusimulia vya wengine badala ya kukifurahia cha kwao hata kama hakilingani na cha kwako..
 
Anafaa kweli.
Ges kg 6=20,000
Ges kg 15=50,000.
Watanzania mungu atupe raisi gani?
Zaidi ya Huyu?
aliyesema HAPA KAZI TU.
Kweli KAZI TUNAIONA.
 
Nimehisi aibu baada ya kusoma na kuona picha zilizoambatanishwa! Bahati mbaya sana watanzania wengi hasa wa vijijini ni washamba namna hii na hawana hata dalili ya kubadilika! Yaani bado wapo kwenye usingizi wa pono.

Huku usukumani wao utawasikia "Ka-magufuli nchi kameipatia, kanaipeleka vizuri"... Ukimuuliza kwanini? Anajibu " kamenunua ndege" halafu anaishia hapo. Basi unabaki umemtizama tu na kumuacha.

Nilivyofika huku na kuisoma jamii ya ukanda huu, nimeacha hata kuongelea masuala ya siasa wala kumtaja jiwe. Nasikiliza tu wazee wanavyopongezana kupata rais wa kabila lao, halafu wakibadili topic wanaanza kulalama, utasikia..."maisha siku hizi yamekuwa magumu sana".. Nami najisemea tu moyoni "nyau ninyi, na bado"...

Ukiwakosoa na kupingana nao hasa Chattle, waweza jikuta mikononi mwa kitengo. Hivyo ni kuwa-ignore tu, tunawajibu huku JF
Unasambaza ukabila alafu nashangaa zaidi wanaolike
 
Duh! Hadi wanaolike mnafuatilia!?

Halafu kiaje nimesambaza ukabila? Yaani wasukuma wakijivunia na kutamba kwamba rais ni msukuma mwenzao tusiseme? Nilidhani ungeshangazwa na tabia hiyo ya watu hao, badala yake unanishangaa mimi niliyewashangaa wao!!! Umeishia kuhesabu likes 😀
 
Kwakuwa wewe una akili nyingi sana ulitaka Rais afanyeje hasa ili nafsi yako iridhike?
Mada iliyopo inazungumzia nafsi yangu kuridhika ama Tanzania kuheshimika duniani?

Sasa hata ukitumia akili ya chekechea tu, hizo picha hapo juu zinaweza kukufanya uheshimike duniani?

Labda unielezee kidogo ni heshima ipi ambayo tumeanza kuipata? Huenda nimetoka usingizini, nitoe tongotongo
 
Ushamba ni huo wako wa kutaka akashangae na kusimulia vya wengine badala ya kukifurahia cha kwao hata kama hakilingani na cha kwako..
Nilichoandika na ulichojibu ni vitu viwili tafauti.Somo la UFAHAMU tunafundishwa darasa la kwanza,naona mwenzetu hukubahatika.

Nimemwambia mwenzako etembee duniani,ajifunze na apanue upeo wake siku mwambie "akashangae na kusimulia vya wengine".
 
Nimehisi aibu baada ya kusoma na kuona picha zilizoambatanishwa! Bahati mbaya sana watanzania wengi hasa wa vijijini ni washamba namna hii na hawana hata dalili ya kubadilika! Yaani bado wapo kwenye usingizi wa pono.

Huku usukumani wao utawasikia "Ka-magufuli nchi kameipatia, kanaipeleka vizuri"... Ukimuuliza kwanini? Anajibu " kamenunua ndege" halafu anaishia hapo. Basi unabaki umemtizama tu na kumuacha.

Nilivyofika huku na kuisoma jamii ya ukanda huu, nimeacha hata kuongelea masuala ya siasa wala kumtaja jiwe. Nasikiliza tu wazee wanavyopongezana kupata rais wa kabila lao, halafu wakibadili topic wanaanza kulalama, utasikia..."maisha siku hizi yamekuwa magumu sana".. Nami najisemea tu moyoni "nyau ninyi, na bado"...

Ukiwakosoa na kupingana nao hasa Chattle, waweza jikuta mikononi mwa kitengo. Hivyo ni kuwa-ignore tu, tunawajibu huku JF
Hiyo na bado nilimuambia Kada mmoja akataka kunishtaki.
Kama anasoma huku namwambia tena
NA BADO
 
Back
Top Bottom