Raisi anayeongoza kwa kuwa na wake weeengi

Raisi anayeongoza kwa kuwa na wake weeengi

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Kuna watu wamevunja recodi kwa kuwa na wanawake wengi, mfano Alhaj Abubakr Bello Masaba wa Nigeria ana wake 86, yupo Salum wa Kibondo Kigoma anasadikika kuwa na wake 80, ningependa kujua ni rais yupi anaongoza kwa kuwa na wake wengi!
Je, wanawahudumiaje kimapenzi?

Hebu tuhabarishane, manake huyu wa Kibondo yeye ni mganga wa Kienyeji na ana kijiji chake kabisaa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
umechanganya madawa mkuu umesema raisi na shangaa unataja mtu kigoma hueleweki!!!!!!!!!!!!!!!
 
umechanganya madawa mkuu umesema raisi na shangaa unataja mtu kigoma hueleweki!!!!!!!!!!!!!!!




Haswa


Halafu sema huyo wa Rais wa Kibondo yupo
kijiji gani ? Unajua jf ipo hadi Kigoma ili
nao wasaidie kujua km ni kweli.....
 
Sisi chuoni kwetu rais alikuwa na madem 27
 
kuna yule somon kwenye bible alikuwa na wake 1000 hivi,,sipati picha aliwahudumiaje
 
kuna yule mjamaa wa kenya nadhani alikufa, akuku danger........wake mia na ushee.. oh! sorry kumbe siyo rais
 
Maneno si kua nao shughuli pevu ni kuwaridhisha,wanawaoa matokeo yake walinzi ndio wanakula kiulaini....
 
Nabii ibrahim,daud,solomon na wote hao wataenda peponi
 
umechanganya madawa mkuu umesema raisi na shangaa unataja mtu kigoma hueleweki!!!!!!!!!!!!!!!

Labda kuna nchi ndani ya Tanzania(kibondo) kama ilivyokuwa lesotho ndan ya SA
 
Nabii Eliya wa Upareni Milimani alikuwa na wanawake 50... ala!!! kumbe na yeye alikua sio raisi?
 
Back
Top Bottom