Raisi anapojibu kero za wananchi, Viongozi wengine wako wapi?

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Rais anaposimamishwa na wananchi ili kujibu kero walizonazo katika vijiji vyao unapata tafsiri gani hapo? Mara nyingi katika maeneo mbali mbali katika mikusanyiko ya kijamii na has ya kisiasa Rais ndio amekua wa kujibu kero, hawa watendaji wa CCM, wabunge wa CCM, wakuu wa wilaya wa CCM, wapo ?
 
Rais msikivu, watanzania wanamatumaini nae na wanamuamini, uhuru wa kujieleza uko juu kiasi cha mwanakijiji kutoa ya moyoni bila ya khofu!
 
Hocho ni kifo cha nyani, miti yote hutereza, atakwenda mpaka kuwasongea watu ugali majumbani mwao, na bado huu ni mwanzo
 
Back
Top Bottom