Kuna kipindi jamaa yangu alipata operation kwenye paja na kichwani kwahiyo ikabidi awe anaingia kanisani na msuli na balaghashia unajua kilichotokea ................. Zaidi ya dk 6-7 kanisa lilikuwa kimya mchungaji kaacha kuhubiri macho kwa jamaa na waumini nao ndio usiseme macho kwake hadi anaenda kukaa na pale walipomjua kidogo ndio roho zikatulia.(samahanini nje ya mada ila nimmekumbuka mbali sana)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.