Rais wa Africa kusini Jacob zuma amewafukuza kazi mawaziri watatu wa fedha ndani ya wiki moja na kuteua mwingine huko ndiko kutumbumbua majipu halisia
Rais zuma amefanya hivyo baada ya fedha ya nchi hiyo kupoteza dhamani dhidi ya dolla ya marekani.
Naye ana tumbua majipu.,,...
Rais wa Africa kusini Jacob zuma amewafukuza kazi mawaziri watatu wa fedha ndani ya wiki moja na kuteua mwingine huko ndiko kutumbumbua majipu halisia
Rais zuma amefanya hivyo baada ya fedha ya nchi hiyo kupoteza dhamani dhidi ya dolla ya marekani.
kuna taarifa zilikuwa zinatrend kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuwa zuma hafanyi kazi kama rais mpya wa Tanzania anavyofanya.kelele hizo za wananchi na kuilalamikia sana wizara ya fedha ya nchi hiyo akaamua kumpiga chini waziri wa fedha[/QUOTE
na magazeti yao wanavyomwandika magufuli Mara kwa Mara inaonekana wanamsuta raisi wao kijanja.
Tanzania itakuwa imeanza kujulikana miongoni mwa watu weusi mana jamaa wako ignorant sana kuhusu mataifa mengine ya Africa hawayajui kivile mana wanajihesabu wao ndo matajiri Africa,kama wazimbabwe enzi izo.
Story Niko hivi, kiongozi,
Zuma amepoteza mwelekeo vibaya vibaya. Amepiga hela mpaka waliolala wameamka! Kuna matumizi ya anasa, kujenga mahekalu ya familia yake kuuuubwa, na kwenye nafasi nyeti anaweka marafiki/watu wake wa karibu. Shirika la ndege (South African Airways) liko taaban lakini mtu wake wa karibu anataka kuliingiza kwenye mkataba wa kifo kama ATC, kuna deal nyingine ya mambo ya nuclear na Urusi ambayo waziri wa fedha alikataa kuidhinisha. Baada ya kuona Waziri huyo wa fedha analeta 'unoko' akamtimua! Kosa!
Yote tisa, baada ya kumtimua waziri huyo wa fedha aliyekuwa anaheshimiwa na private sector, akamteua mtu ambaye hana sifa kabisa. Sasa hapo ndipo Wasouth wakaona Zuma anataka kuzamisha nchi, na sasa wameanza kampeni ya kushinikiza Zuma aachie ngazi. Zuma naye ameshtuka na amemtua waziri mwingine wa fedha kwa mara ya pili ndani ya siku 4! pitia DESPOT
Zuma ana wakati mgumu!
Sik
Kwani na Cmrd Zuma nae ni mtu wa mipasho na kubembea!? Majanga!