Story Niko hivi, kiongozi,
Zuma amepoteza mwelekeo vibaya vibaya. Amepiga hela mpaka waliolala wameamka! Kuna matumizi ya anasa, kujenga mahekalu ya familia yake kuuuubwa, na kwenye nafasi nyeti anaweka marafiki/watu wake wa karibu. Shirika la ndege (South African Airways) liko taaban lakini mtu wake wa karibu anataka kuliingiza kwenye mkataba wa kifo kama ATC, kuna deal nyingine ya mambo ya nuclear na Urusi ambayo waziri wa fedha alikataa kuidhinisha. Baada ya kuona Waziri huyo wa fedha analeta 'unoko' akamtimua! Kosa!
Yote tisa, baada ya kumtimua waziri huyo wa fedha aliyekuwa anaheshimiwa na private sector, akamteua mtu ambaye hana sifa kabisa. Sasa hapo ndipo Wasouth wakaona Zuma anataka kuzamisha nchi, na sasa wameanza kampeni ya kushinikiza Zuma aachie ngazi. Zuma naye ameshtuka na amemtua waziri mwingine wa fedha kwa mara ya pili ndani ya siku 4! pitia
DESPOT
Zuma ana wakati mgumu!
Sik