Rais yupi ana speech zenye mashiko (Tanzania)?

Rais yupi ana speech zenye mashiko (Tanzania)?

Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech.

General Speech
1. Mkapa
2. Magufuli
3. JK
4. Mwinyi
5. Samia

Speech za mipango na maendeleo

1. Magufuli
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Samia
5. Mwinyi

Speech with comedy
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mkapa

English speech
1. Mkapa
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mwinyi

Kwa ujumla speech za Mkapa na Magufuli zinasikilizika hata kama upo busy.

Nyerere hayupo kwenye list kwa sababu viwango vyake vya speech sio vya bara hili.

View attachment 2925582

They Ain't sh!t
They all nothing but good slaves.

Lying
Lying

Good speech aanh!

Hiyo picha uliyoiweka hapo kwenye post imewafanya waonekane wapumbavu zaidi.
Ngoja niiangalie tena!.

They all ain't sh!t.

Hao mbwa wametuuza kwa mabeberu
Katika wote hakuna ambae alikuwa anafight kwa maslahi ya watanzania.

They all ain't sh!t.

Do we need speech?

So you all men gonna let a fat woman givin you a speech.
 
Mimi binafsi Sijawahi kusikiliza speech za Rais wa awamu hii labda nikutane nazo tu kwenye vyombo vya usafiri ama vi clip clip vya kwenye mitandao ya kijamii. Nahisi ni kama hana/hakuwa na vision ya wapi anataka Tanzania iende na ndio maan hata falsafa yake ni ya kisiasa zaidi i.e 4R kwa sababu ni rahisi sana kwa kila mwanasiasa kuwa na falsafa ya kisiasa ila sio rahisi kwa kila mwanasiasa kuwa na maono ya kikmkakati yenye uwezo wa kuleta tija na maendeleo kwa taifa lake.

Ukijaribu kumsikiliza ni kama unamsikiliza mtu aliyechoka ama kukata tamaa, sauti yake haina mamlaka wala matumaini
Kusikiliza speech za awamu hii inachosha na wakati mwingine inatia hasira. Rais anaongea kama mshauri wa balaza la kata "hilo nalo mkalitizame vizuri" ni nyingi sana kuliko takwimu na malengo ya mbeleni.
 
Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech.

General Speech
1. Mkapa
2. Magufuli
3. JK
4. Mwinyi
5. Samia

Speech za mipango na maendeleo

1. Magufuli
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Samia
5. Mwinyi

Speech with comedy
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mkapa

English speech
1. Mkapa
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mwinyi

Kwa ujumla speech za Mkapa na Magufuli zinasikilizika hata kama upo busy.

Nyerere hayupo kwenye list kwa sababu viwango vyake vya speech sio vya bara hili.

View attachment 2925582
Ni nyerere..
 
Mimi binafsi Sijawahi kusikiliza speech za Rais wa awamu hii labda nikutane nazo tu kwenye vyombo vya usafiri ama vi clip clip vya kwenye mitandao ya kijamii. Nahisi ni kama hana/hakuwa na vision ya wapi anataka Tanzania iende na ndio maan hata falsafa yake ni ya kisiasa zaidi i.e 4R kwa sababu ni rahisi sana kwa kila mwanasiasa kuwa na falsafa ya kisiasa ila sio rahisi kwa kila mwanasiasa kuwa na maono ya kikmkakati yenye uwezo wa kuleta tija na maendeleo kwa taifa lake.

Ukijaribu kumsikiliza ni kama unamsikiliza mtu aliyechoka ama kukata tamaa, sauti yake haina mamlaka wala matumaini
ni maoni yako
 
Nyie kalieni speech tu sababu porojo ndio wengi mnashabikia.
Wenzenu wanangalia ukuwaji wa uchumi, GDP, elimu, afya, usalama n.k
 
Mchonga meno alikua ni bingwa wa fitna na mwenye wivu hiyo kitu imewaponza hadi watoto wake leo wanalipa deni la laana ya baba yao
Sidhani kama zitafikia laana za yule jamaaa wa kukenua time will tell
 
Back
Top Bottom