Rais wetu ni huyu!

jaman mi naombeni kujuzwa kwani JF ni ya chadema nn.

Hapana! NO! JF si ya CHADEMA bali sisi watu tuliomo naona wengi wetu ndo CHADEMA, chama, chama kubwa CHADEMA.
 
huyu ndio mkuu wa kaya 2015


Wala hata hapendezie. Ila wewe unapendezea kweli na signature yako:OLE WAO FISI WAFUATAO NYAYO ZA SIMBA. Kwa nini umeamua kuwa fisi anayefuata nyayo za simba? Au wewe ndiye simba mwenyewe, unawaonea huruma fisi wanaofuata nyayo zenu ninyi simba. Kama ndivyo si unaona hata wewe mwenyewe unawaonea huruma. Haifai kabisa fisi kufuata nyayo za simba maana simba akimludi weeeeeee, na ndivyo kilivyo chama cha magamba.
 
Rais gani ametoa macho utafikiri anajisaidia.mtabaki na matumaini hewa
 
HAPO SASA UMEONGEA.HUYU NDO RAIS KWELI 2015 MWENYE WIVU AJINYONGE

[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…