rais wetu na mkwala wa bandarini

rais wetu na mkwala wa bandarini

gmwansasu

Member
Joined
Apr 23, 2008
Posts
43
Reaction score
5
jamani si mnakumbuka mheshimiwa rais alivyotembelea bandari na kupiga mkwala mkuuuubwa. sasa jiulize ni muda gani umepita toka ule mkwala kupigwa halafu tembelea bandarini, yaani idadi ya magari imeongezeka maradufu toka mkwala upigwe.
sijui tufanyeje Mungu wangu rais wetu akiongea kitu awe anasikilizwa na utekelezaji wa maelekezo yake uwe wa haraka.
 
Back
Top Bottom