Bobdon
Senior Member
- Jun 8, 2017
- 197
- 287
Asalam aleykum wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kwamba Rais wetu mtukufu yafaa aendelee kutawala au kuwepo madarakani mpaka atakapochoka yeye mwenyewe kwa sababu ni Rais ambaye ni mzalendo wa nchi yake.
Ili tuweze kumfaidi Rais wetu mtukufu kwa uzalendo wake na kuwajali wanyonge inabidi tumuunge mkono katika harakati hizi za kupigania nchi yake na watu wake.
Ushauri wangu kwa wananchi wazalendo kama alivyo Rais wetu ningependekeza abadilishe katiba ili aweze kutawala mpaka pale kifo kitakapomuachanisha na kuliongoza taifa letu.
Nimejaribu kuangalia vitu mbalimbali anavyopigania katika taifa letu hakika yamfaaa aendelee kutawala au aongezewe miaka ishirini ili aendelee kuonesha uzalendo wake.
Siyo kwamba nasifia tu bali ni ukweli mtupu ambao hata kiziwi au kipofu hawaitaji kuambiwa kuhusu jitahada zinazofanyika. Mfano ameweza kufanikiwa katika mambo yafuatayo;
•kupambana dhidi ya wezi wa mali za watanzania (kampuni ya acacia).
•Kupambana na wahujumu uchumi kwa kuanzisha mahakama ya mafisadi.
•Kuwaondoa watu wenye vyeti feki
•Elimu bure.
Hakika inabidi katiba ibadilishwe ili imruhusu Rais wetu mtukufu aendelea kutawala.
Karibu kwa michango Great thinker wenye mawazo kama yangu.