Nimejisikia huzuni sana baada ya kuikuta picha ya Rais Kikwete ktk gazeti la Mwananchi uk.3. Ktk picha hiyo, Rais Kikwete akiwa na Ofisa wa NBC, anaonyesha kadi yake mpya ya NBC Debit Master Card.
Sioni sababu ya Rais kutumiwa kibiashara na NBC. Hivi kesho NBC wakianza kuitumia picha hiyo kwenye promo zao itakuwaje? Nasema hivyo kwa sababu niliingia Guest fulani huko Geita nikakuta picha imebandikwa receiption Rais Mkapa akiwa na mwenye hiyo guest na familia yake. Tunadhibitije picha ikitumik isivyo?

wewe utakuwa ni msanii wa bongo flavahuyu mkulu wa bongoi tumeshamzoea, huyu ni sharobaro men! Anatumia debit master card men! U know what i'm saying men? ana swagga men!,muuza sura men! Kapiga picha na 50 cent men! Yuko bllingling men! Oooooooh mamaaaa! Bado unashangaa? Oooh ny Gad!
Anahamasisha wananchi watumie card . Wakati wa kutembea na kitita cha noti kimepitwa na wakati.
Cha ajabu kipi? Mbona Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ana promote kilimanjaro(mlima bana!) uwepo kati ya maajabu saba asilia ya dunia.Nakumbuka pia aliyekuwa Rais wa zambia Kenneth Kuanda amewahi promote utumiaji wa neti.