Rais Wenu anaweza hii?

Anatembea km 3 kila siku...zamani ndio alikuwa anaweza baskrtball kwa sasa hawezi kuruka ruka!!
 
Tuna maraisi wengi hapa bongo, yupo raisi wa manzese,raisi wa chama cha waendesha guta,raisi wa JMT,raisi wa chama cha wamiliki wa daladala,raisi wa chama cha walemavu etc,etc! Ni yupi unayemuulizia
Dhaifuuuuu!!!
 
Rais kivuli Slaa ndio anaweza hiyo. Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Tuna maraisi wengi hapa bongo, yupo raisi wa manzese,raisi wa chama cha waendesha guta,raisi wa JMT,raisi wa chama cha wamiliki wa daladala,raisi wa chama cha walemavu etc,etc! Ni yupi unayemuulizia

Pia rais wa wasafi,rais wa darcoboa,rais wa masharobaro,rais wa watangazaji(Presenter's president),rais wa chaputa!
 
Una maana Rais wa JMT.? Naye ni mcheza Basket yule, ila sina hakika kama anapata muda wa kupumzika na kufanya mazoezi, lakini angalau ana spirit ya Michezo, sio mbaya, Si mnajua mwanajangwani mwenzetu?
 
yoyote aliyepitia jeshini kipindi hicho ni lazma alifanya michezo mbalimbali! wakati wao wanasoma pia kulikuwa na mashindano haswaa ya michezo mbalimbali! sidhani kama eti hajui kitu! bali ni umri kwa sasa na majukumu ya nchi yetu hasa kwa rais kufanywa yy ndo kila kitu,ivyo kuna mnyima uhuru mwingi! nchi kama marekani haya ni mambo ya kawaida kwa kuwa kuwa watu wanatambua wajibu wao wa kazi! hivyo sasa mtu kama obama akiwa yuko michezoni system zingine za kazi zinaendelea kama kawaida! kwa mf:usalama,uduma za afya zote zitakuwa safi tu kwa wananchi! BUT hapa mtu kama kikwete akitoka tu hata kidogo kwenda kutazama mechi taifa basi ujue system zingine zote za kazi zinafeli mana wakuu wa polisi wote watakuwa huko,usalama wote huko, madoctor wazuri wote huko! wapambe wa vyama hukoo! maprotocal officer wote hukoo! watu wa ikulu wote hukoo! kwa upande wetu sisi wabongo tulivyo wanafiki nasi tutasema rais anacheza wakati madr na walimu wamegoma na maneno meengi nk!
 
kwani jeshini hamna wavivu na mabwabwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…