Tukamate Mali zote za ccm waliojilimikisha baadae ya mfumo wa vyama vingiWatu wanafikri trillion 1 ni mchezo! Ona jamaa yetu huyu wa vyumba yeye kafikri vyumba 1,000,000 vitatengeneza trillion 6 kumbe ni billion 60 tu kwa mwaka ambacho ni sawa na tone la maji kwenye bahari! Tukubali tu kwamba mcc imeacha pengo ambalo kuliziba lazima tushikane ubaya!