Rais wangu Magufuli kama unapitia jukwaa hili Mteuwe William Lukuvi TAMISEMI halafu aliepo achukue nafasi ya Lukuvi. TAMISEMI ni kama mishipa ya damu inayopokea damu toka kwenye Moyo yaani RAIS.
Aliyepo sio kwamba hawezi lakini... hata uwanjani wachezaji hubadilishwa NAMBA na kocha wao.Lukuvi yuko vizuri, Luhaga pia wizara ya ardhi anaiweza akipewa.
Siku zote aliye nje ya uwanja anaona sana makosa, udhaifu wa wachezaji kuliko anaecheza uwanjani. KUNA UDHAIFU TAMISEMI time will say