Rais wangu Kikwete kwa haya nitakukumbuka !!

Rais wangu Kikwete kwa haya nitakukumbuka !!

Kama unaishi Afrika Mashariki hiki ulichokiandika hapa ni negative effect ya kuPost saa tisa ya usiku.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Let me think....
JamiiForums inapatikana Afrika Mashariki tu, eti?
Jadili hoja iliyopo, hunijui wala sikujui, tunaunganishwa na Hoja. Hebu tuendelee kuzijadili.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mimi nitamkumbuka kwa haya...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nani kasema Rais akiamua udikteta kuna wa kumzuia? Nani kasema Kenya haina amani kwa sababu Kibaki hana huruma na watu wake?
Hatuoni kuwa tatizo la msingi lililopoteza amani Kenya ni ubaguzi wa kikabila?
Hatuoni jinsi Kenya inavyotumiwa na jumuiya ya Kimataifa kama kichaka kuendeleza vita Somalia?
Hatuoni unafiki wa nchi bepari zinavyochezea akili za waafrika na kuchochea vita Sudan? Libya? Mali? DRC,n.k ni kwa tamaa ya rasilimali na kutafuta soko la silaha?
BADO NAAMINI KIKWETE amejitahidi sana kuvumilia tofauti hizi angeamua angefanya.

You must be a mind reader to read Kibaki's. Salute!
Talking about Mali, I doubt your research, sir!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Adolf Hitler ni dictator ambaye historia ya dunia haiwezi kumsahau.Alichaguliwa kidemokrasia lakini pamoja na umahiri wa hotuba za matumaini alizowapa wajerumani Bado alipoingia madarakani aligeuka wajerumani na kuwaachia makovu.
Nadhani tunaona Kikwete anasitahili kuwa kama alivyo lakini hili si sahihi wakati wote.MF awamu ya Nyerere sio kwamba haikuwa na watu wanaofikiri mf wa Kambona,,ila tu uhuru ulibanwa kitakatifu..
NG'OMBE HAJUI FAIDA YA MKIA MPAKA UKATWE,,siku tukipata Rais asiyevumilia kukosolewa ndio tutamkumbuka Kikwete

Angalau Nyerere alikuwa na Falsafa aliyoiamini. Kikwete ana falsafa ipi?
Political maturity is being able to focus discussions on Policies, not personalities. He didn't become a dictator because he couldn't be one. Otherwise you're entitled to your perception of him - Merciful!

Ukoo Flani
I didn't mean Kikwete is 100% perfect and 100% doing everything as required NO!
Ila siku zote pessimism haimfanyi mtu kuona jema,hata jema akiliona wazi bado ataona si jema.
Mf.Mtu uliyemjengea negative altitude hata akupe gari la bure kwa nia njema,utaendelea tu kuwa na shaka na kuhoji maswali Kwa nini amenipa? Ili iweje? Anataka aniteke njiani n.k Chochote kutoka kwake utakiona unafiki.Hivyo ndio mentality tunayomjengea Rais kana kwamba tukipewa hiyo nafasi sisi tutamudu 100% au tukimuweka fulani basi neema itashuka.
Tupongeze panapositahili tukosoe panasitahili.
Kijiji kisichojadiliwa hakijengwi
 
Last edited by a moderator:
hata mzee wa fast jet si alimpokonya juma nature mke(sinta) na kumpeleka Nairobi na kupata unyumba au umesahau mkuu
vipi kuhusu babu seya si nasikia pia anahusika na kufungwa kwake.
 
Kupendelea waislam zaidi katika kila jambo, anataka hadi sheria ziitambue dini yake. Anatulazimisha wakristo na madhebu mengine kuabudu dini ya kiislam. Huyu rais fake

Mpaka leo bado unaendekeza udini,nyinyi ndo mnaosababisha tupigane acha habari zako izo, hakuna anaefanya mabaya tu bila kuwa zuri hata moja,na hakuna aliekuwa mkamilifu kila mmoja ana mapungufu yake,
hata hivyo jk kuna mambo yata mfanya akumbukwe sio tu mazuri ya hata kwa mabaya pia.
watanzania tumezoea kudanganywa,wengi tulikuwa tunaamini kuwa albino hawafi bali wanapotea lakini leo wote tunajua kuwa walikuwa wanawanya dili tangu zamani,uhuru wa vyombo vya habari alio utoa jk ndo umetufanya tujue hayo EPA na mengineyo. badili bro udini utatucost.
 
Nami nitamkumbuka kwa kuwa raisi anayeweza kupiga picha na mastaa wa ulaya na Ray c sumit.jpg
 
Adolf Hitler ni dictator ambaye historia ya dunia haiwezi kumsahau.Alichaguliwa kidemokrasia lakini pamoja na umahiri wa hotuba za matumaini alizowapa wajerumani Bado alipoingia madarakani aligeuka wajerumani na kuwaachia makovu.
Nadhani tunaona Kikwete anasitahili kuwa kama alivyo lakini hili si sahihi wakati wote.MF awamu ya Nyerere sio kwamba haikuwa na watu wanaofikiri mf wa Kambona,,ila tu uhuru ulibanwa kitakatifu..
NG'OMBE HAJUI FAIDA YA MKIA MPAKA UKATWE,,siku tukipata Rais asiyevumilia kukosolewa ndio tutamkumbuka Kikwete

sio kwa duinia ya utandawaz kihasi hch
 
Ha ha haa Tetraa, nasubiri majibu ya Rais kwenye escrow ndo nchangie
 
Nami nitamkumbuka kwa kuwa raisi anayeweza kupiga picha na mastaa wa ulaya na Ray cView attachment 82884
Udini ulianza na mchonga meno 'nyerere' Alifanya kufuru kubwa, akawadhalilisha waislamu, masheikh. Aliwachagua wakristo wenzake serikalini, akawabagua waislamu waliomteua na kumpa nafasi. Akaja Mkapa, naye akafuata nyendo za nyerere. Waislamu wakauawa sana kule Pemba na Znz. Mpaka tukawa na wakimbizi. Mauaji ya Mwembechai nk. kutetea ukristo wake. Pamoja na kwamba Kikwete ni mwislamu, waislamu hawajanufaika na uongozi wake kamwe. Ona waislamu wanavyo dhalilishwa, kuuawa eti magaidi. Masheikh wa Znz, Sheikh Ponda wanasota gerezani, vp? Kikwete ni mwislamu kweli? Acheni unafiki. Tuwe wakweli.
 
Mr Terrestrial Trunking Radio (Tetra) maovu mengi yameanikwa utawala wake kwa sababu ndiko yalikotokea.Ila si yeye wala washirika wake waliyoyaanika bali wapinzani wa serikali yake (Vyama vya upinzani).Mfano sakata la EPA,Richi monduli,Sakata la Elimu na hili la ESIKIROOO.Hivyo mi sijaona sifa yake hapa.Ni serikali tesi kwa wapenda amani ,maendeleo na ukweli mfano..Dr Ulimboka,Lwakatare Wilfred nk.Serikali yake imekuwa dhaifu kuliko zote zilizopita hata hizo unazoziita uhuru wa kusema huo uovu bado hakuufurahia yeye na washirika wake ndo sababu ya zengwe dhidi ya kibaraka wa BMK (SITA)!
 
Mr Terrestrial Trunking
Radio (Tetra) maovu mengi yameanikwa utawala wake kwa sababu ndiko
yalikotokea.Ila si yeye wala washirika wake waliyoyaanika bali wapinzani
wa serikali yake (Vyama vya upinzani).Mfano sakata la EPA,Richi
monduli,Sakata la Elimu na hili la ESIKIROOO.Hivyo mi sijaona sifa yake
hapa.Ni serikali tesi kwa wapenda amani ,maendeleo na ukweli mfano..Dr
Ulimboka,Lwakatare Wilfred nk.Serikali yake imekuwa dhaifu kuliko zote
zilizopita hata hizo unazoziita uhuru wa kusema huo uovu bado
hakuufurahia yeye na washirika wake ndo sababu ya zengwe dhidi ya
kibaraka wa BMK (SITA)!

Anaymponda Jk ujue siasa kaianza juzi tu awam ya jk.
 
Back
Top Bottom