gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,358
- 3,421
acha porojo jibu swali!
We mbona kilaza sana?
acha porojo jibu swali!
Kasema tano bcoz moja haiwezi kujustify,anyway hata kama tano hazipo basi taja tu hata hiyo moja.kwa kauli yako ya "idadi ya tano tu" unaonekana hujiamini.Kwanini usiseme taja moja tu?
acha porojo jibu swali!
Ni kweli na nimekusoma lakini inabidi kiwepo kigezo cha kufunga na ukifunga zote kwa wakati mmoja watu wanaquestion.Ila ukilinganisha na marais waliopita ye kajitahidi hata kama pengine hajapenda iwe hivyo.
Asiende mbali akitaka kuona aende kwa kwa kagame hapo aone.UsiGeneralize mambo mkuu. Kuna nchi zinazoendeshwa kiimla hadi leo hii.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mni kweli huwezi linganisha Ben na JK,Ben alikuwa ana kaudikteta,but the same Ben angekwepo enzi za sasa sidhani kama angeendelea kuwa mtemi,watu wanavumilia kwa muda sio wakati wote.More over society imekuwa conscious tofauti na vipindi vilivyopita,na mtu huwezi fanywa mjinga wakati wote.Pia teknolojia haikuwi kama mti wa mninga teknolojia inabadilika haraka kuliko unavyofikiri na huwezi note kuwa leo ndo teknolojia inabadilikaHuo utofauti wa technology kipindi cha Ben na sasa ni mkubwa kiasi gani hata ishindikane kipindi hicho.Hata kama hupendi ila ukweli utabaki kua ukweli
Museven ni aina ya Madikteta wa chinichini na simpendi heri ya kikwete,Then about Kagame kwngu mimi hata kama ye anatumia ubavu lakini nchi yao inasonga mbele kwa hilo namwona yupo poa tu.Waganda mkuu wataisoma namba kwa mzee wa "I WILL NOT BE REMOVED BY PAPERS"Of course nakubali na pengine alipaswa kufanya hivyo,,ila kama ukifuatilia vizuri siasa ya Uganda utaona namna Yoweri Museveni anavyowanyima tena wazi wazi uhuru waganda ambao kimsingi walistahili kuupata..
Asilimia mia moja ana kifua cha kuvumilia. Ingawa watu wanaona ni wakati umefika si kweli kama angeamua. Tizama Uganda na hata rwanda au wanaishi dunia nyingine.
Museven alishawahi kukaririwa akisema hawezi kutoka madarakani kisa watu hawajamwekea alama ya tick kwenye makaratasi ya kupigia kura.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kweli kabisa hata wezi wa pembe za ndovu kwa kutumia meli zao tume wafahamu kwenye awamu yake!
*Rushwa ya kutumia vitumbua tumeifahamu kwenye awamu yake!
*watoto kufaulu bila kujua kusoma na kuandika tumelifahamu kwenye awamu yake.
*mtihani wa hesabu kuwa na majibu ya kuchagua kama a,b,c tulipata kwenye awamu yake!
*muungano wa visiwa vya zimbabwe na pemba tumeupata kwenye awamu yake!
Kweli hata mimi sito msahau!
*
Sumu
Sio hivyo tu,aliwahi kusema,,Mtu ukigongelea msumari kwenye ubao kwa nyundo basi huwezi kung'oa msumari huo kwa mikono bali nyundo.
To mean,,aliingia madarakani kwa mapinduzi (1986) hadi leo hivyo ataondoka kwa mapinduzi sio kwa mkono wa Kura
Bila ya kusahau na yule padre wa CD.M mwizi wa wake za watu