Rais wangu JK, full vipaji

Rais wangu JK, full vipaji

jk.jpg
 
Hapo kwenye nyumba ya nyasi ni kwa manyaunyau au? kama nyumba ya mtu kawaida Mh. Rais hapo ajue kuna watu wanakula taabu si kitoto.
 
Hiyo ni digital camera in display screen kubwa kwa nyuma, hakuna haja ya kuchungulia kama camera za kizamani. Hapo alikuwa anaendeleza usanii wake tu.
 
Amchezee na taarabu ndo fani inayomfaa
 
Hiyo ni digital camera in display screen kubwa kwa nyuma, hakuna haja ya kuchungulia kama camera za kizamani. Hapo alikuwa anaendeleza usanii wake tu.

umeona eeh yaani huyu JK full sanaa
 
Siyo peke yake...

3.jpg ...............A country of dancing leadership...:lol::lol::lol:.... I like it.
 
Back
Top Bottom