Rais wangu JK, full vipaji

Rais wangu JK, full vipaji

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,024
Reaction score
45,754
View attachment 41769FULL MAUJUZI YA KUPIGA PICHAView attachment 41770hapa anapiga gitaa full burudani 8e9u2892.jpg anamuonesha rais wa Brazil kuwa yeye hata ngoma anaweza kupiga
 
Sioni tatizo lolote kwa Rais kujibur4udisha kwa shughului kama hizi. Actually viongozi wetu wanapaswa kujizoeza kwa shughuli kama hizi ili kupunguza msongo wa mawazo na shughuli nzito za kila siku. Hili ni muhimu kwa afya zao kimwili na kiakili.Tumpongeze na kumshawishi kwa hili.
 
anapumzika kwa lipi alilofanya sasa, au kwa uchovu wa safari za mwaka mzima

Huyu jamaa wa pembeni nilidhani Ocampo kumbe rais wa zamani wa Brazil
 
Kitu cha dhahabu mkono wa kulia mmeona? Ulizia ni madafu mangapi hapo. . . . .
 
Kitu cha dhahabu mkono wa kulia mmeona? Ulizia ni madafu mangapi hapo. . . . .

Umeona kila kito chake inawezekana ikawa jiwe la bahati- according to late Sheikh Yahya
 
Back
Top Bottom