Ni Mimi Msiogope
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 352
- 200
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hakuhudhuria vikao vitatu mfululizo vya Baraza la Mawaziri na hivyo kitendo cha kiti chake kutanda utando wa buibui kinaashiria kuwa hakubaliani na Baadhi ya mambo yanavyoendeshwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni haswa namna suala la Muungano linavyochukuliwa na Rais Kikwete.