Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Shein azindua jengo la Thabit Kombo

Ghorofa ngapi hii?,,
Tunataka zanzibar iwe kana kisiwa cha hong kong,,jengo la chini liwe ghorofa 50..
 
Ghorofa ngapi hii?,,
Tunataka zanzibar iwe kana kisiwa cha hong kong,,jengo la chini liwe ghorofa 50..

Balozi Seif Sura Mbaya Ali Iddi baada ya kuona jengo hilo na lile la Michenzani Mall anasema tayari Zanzibar imekuwa Dubai.
 
Hizo rangi za mbogamboga za nini sasa kwenye jengo la kibiashara
Hapo palikuwa na maskani ya CCM. Kama ushawahi kuona ama kusikia "Sauti ya Kisonge" ule ubao ambao makh.anithi ya kisonge wanaandika mipasho kuhusu wapinzani wao. Hilo ni Jengo lao CCM Maskani ya kisonge. Sijui kama wameekewa na bao la kucheza ili wapoteze mda na future za familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…