Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Shein azindua jengo la Thabit Kombo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,203
4,676
Matangazo ya moja kwa moja muda huu

Ni Jengo Jipya Jipya la Kibiashara linalozinduliwa na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Dkt Ally Mohammed Shein.

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Hussein Ally Hassan Mwingi naye alihudhuria uzinduzi huo

FB_IMG_16009325974068960.jpg

View attachment 1579108View attachment 1579109View attachment 1579111
 
Ghorofa ngapi hii?,,
Tunataka zanzibar iwe kana kisiwa cha hong kong,,jengo la chini liwe ghorofa 50..
 
Ghorofa ngapi hii?,,
Tunataka zanzibar iwe kana kisiwa cha hong kong,,jengo la chini liwe ghorofa 50..

Balozi Seif Sura Mbaya Ali Iddi baada ya kuona jengo hilo na lile la Michenzani Mall anasema tayari Zanzibar imekuwa Dubai.
 
Hizo rangi za mbogamboga za nini sasa kwenye jengo la kibiashara
Hapo palikuwa na maskani ya CCM. Kama ushawahi kuona ama kusikia "Sauti ya Kisonge" ule ubao ambao makh.anithi ya kisonge wanaandika mipasho kuhusu wapinzani wao. Hilo ni Jengo lao CCM Maskani ya kisonge. Sijui kama wameekewa na bao la kucheza ili wapoteze mda na future za familia zao.
 
Back
Top Bottom