Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein atangaza Baraza lake la Mawaziri

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,502
3,482
Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein atangaza Baraza la Mawaziri lenye Mawaziri 13 na Manaibu waziri 7. Pia Mawaziri watatu kwa upande wa upinzani wameingizwa kwenye Baraza jipya la Mawaziri.

Amewataja mawaziri hao na wizara zao kama ifuatavyo:-
Issa Haji Ussi – Waziri Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Haruna Ali Suleiman – Waziri wa Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora

Abdi Omary Kheri – Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI na Idara Maalum

Mohamed Abood Mohamed – Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais

Dkt Khalid Salim Mohamed – Waziri wa Fedha na Mipango

Mahamoud Thabit Kombo – Waziri wa Afya

Riziki Pembe JUma – Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali

Balozi Amina Salum Ali – Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko

Balozi Ali Abeid Karume – Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi

Rashid Ally Juma – Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo

Hamad Rashid Mohamed – Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi

Nurdin Kastiko – Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto

Salama Abood – Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira

Pia amewataja manaibu waziri 7 kuwa ni:
Harusi Said Suleiman - Wizara ya Afya

Mmanga mjengo Mjawili – Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

Mahamed Ahmed Salum – Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi

Lulu Mshamu Khamis – Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi

Chum Kombo Khamis – Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo

Juma Makungu Juma – Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira

Khamis Juma Maalim - Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora.

Dkt Shein pia amewajumuisha Juma Ally Khatib na Said Sud Said kutoka vyama vya upinzani kuwa Mawaziri katika wizara Maalum.

 
Hongera Shein.
Namwona Ali karume ndani NA MAHAMOUD THABITI KOMBO,Na HAMAD rashid

2020 naombea Ali karume awe Raisi,Mahamoud thabit kombo awe Waziri kiongozi,na Hamad RASHID awe makamu wa kwanza wa Raisi.Zanzibar patachimbika.Mafisadi na wanasiasa uchwara itabidi watafute pa kukimbilia.Ali Karume ni picha halisi ya mzee Karume mwenyewe hataki ujinga na aweza ishikisha adabu Zanzibar shein akimaliza muda wake..
 
Rais wa Zanzibari Ni tabibu bingwa kwanini asipangiwe kazi kule Mawenzi/Mount Meru/Seko Toure/Ocean Road/Mwisela/Sewa Hajji/Kibasila. Akawasaidie watanzania hapo hata akisimama Na Maalim moja kwa moja ntampa Kura yangu.
 
Harun ali sleiman si chotara kabisa ina maana hata sisiemu wanawaenzi wakina sultani?
 
Hongera Shein.
Namwona Ali karume ndani NA MAHAMOUD THABITI KOMBO,Na HAMAD rashid

2020 naombea Ali karume awe Raisi,Mahamoud thabit kombo awe Waziri kiongozi,na Hamad RASHID awe makamu wa kwanza wa Raisi.Zanzibar patachimbika.Mafisadi na wanasiasa uchwara itabidi watafute pa kukimbilia.Ali Karume ni picha halisi ya mzee Karume mwenyewe hataki ujinga na aweza ishikisha adabu Zanzibar shein akimaliza muda wake..
Mkuu tuweke sawa hapo patachimbika kivipi tueleze tufaham watu wa nataka maendeleo sio porojo
 
Baraza la Mawaziri Zanzibar.

...
7). Wizara ya Elimu - Riziki Pembe Juma.

8). Viwanda na Masoko - Amina Salum Ali.

9). Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi - Ali Karume.

....

Huyu naye amezidi! Nchi imeishiwa watu kiasi hicho? Hadi inaboa.
 
Back
Top Bottom