Haujui unachokitaka GENTAMYCINE. Hivi Dr Mwinyi kaifanyia ZNZ au unadanganyika na uchumi wa buluu?Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.
Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Aje kutoka Zanzibar ina maana bara hakuna watu wenye sifa mpk tuongozwe na wageni? shame on youTumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.
Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.
Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Malila nimeku miss, ile chai yetu na kilimo vinaendeleaje?Utamaduni wa Chama chenu kwani ukoje?
Na ndiyo maana nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mkuu.GENTAMYCINE huwa una kaupeo ka kuona mbali.
Mzima ndugu yangu,Malila nimeku miss, ile chai yetu na kilimo vinaendeleaje?
Subirini kwanza muuone huo uchumi wa BLUU ndiyo mumfanyie assessment. Japo nasikia wenyewe kule hawamkubali kabisaMwinyi Ni mtulivu na aliandaliwa kuwa kiongozi.
Ila sidhani Kama anaweza kuwa Rais wa JMT kwa sasa.
Nji ngumi hii( kwa sauti ya Mrema)