Rais wa zamani wa Chama cha walimu, Gratian Mukoba achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera

Jamaa wee ndo Mkoba nn mbona unamtetea sana au chawa wake?
Mimi siyo Mkoba na wala yeye hanifahamu ila nimekuwa karibu sana na watumishi wa kada ya ualimu hasa ktk kipindi yeye alipokuwa Rais hasa ndani ya cwt ya wakati huo na siyo hii ya sasa iliyotekwa.

Simpigii promo bali mafanikio aliyoyaacha ktk chama ndiyo kioo chake kwa wale wasiomjua hasa vijana.
 
Heko kwake Sasa ajipange agombee ubunge njia ni nyeupeee...watu wajioneshe mapema washiriki shughuli zachama sio wakimwagwa huko ccm ndiyo wajipendekeze chadema!!
Tunadhani pamepoa lkn kura za maoni ccm zitaleta mnyukano ambayo hakuna mwanasiasa MAHIRI wa kutuliza makundi yatakayoibuka!!
Kumbuka Mkapa alituliza ishu ya magu mana jk hana ubabe huo sasa kuhusu ubunge wakuchimba biti ninani wakati wazee wengi walimwagwa uwaziri?
Ngoja tuone!!
 
iu
Hapo nyerere kakosekanaje hapo
 
CHADEMA akili zenu mnazijuwa ninyi wenyewe na wakati ambapo zinashika mtandao mnajuwa wenyewe.ninyi si mlisema walimu wanatumika na kutumiwa na CCM? Si mlisema kuwa walimu siyo watu wa kuwaamini na hawafai kabisa hata kupewa jukumu la kusimamia uchaguzi kwa kuwa hawajitambui na wanafuata maagizo ya CCM? Si kila siku mnawatukana walimu? Sasa inakuwaje leo mnatoa meno yenu nje nje kwa kufurahia kigogo huyo kuwa chamani kwenu?

Aliyewaiteni ninyi nyumbu hakukosea hata kidogo.
Kuna sehemu umeona CHADEMA wakifurahia? Pili huyo jamaa bado hajashinda huo uchaguzi
 
Si mlisema waalimu wanatumika kuwaibia kura zenu, vp sasa mbona mnachukuwa wezi?

Au ndo yale yale ya 2015 mlimponda Lowassa na bado mkamnunua aje agombee urais?
CHADEMA akili zenu mnazijuwa ninyi wenyewe na wakati ambapo zinashika mtandao mnajuwa wenyewe.ninyi si mlisema walimu wanatumika na kutumiwa na CCM? Si mlisema kuwa walimu siyo watu wa kuwaamini na hawafai kabisa hata kupewa jukumu la kusimamia uchaguzi kwa kuwa hawajitambui na wanafuata maagizo ya CCM? Si kila siku mnawatukana walimu? Sasa inakuwaje leo mnatoa meno yenu nje nje kwa kufurahia kigogo huyo kuwa chamani kwenu?

Aliyewaiteni ninyi nyumbu hakukosea hata kidogo.
Shida na kutoaminika kwa walimu huwa ni pale wanapokuwa kwenye ajira zao rasmi na mwajiri wao akiwa huyu anayejiita "serikali ya CCM"...

Walimu ndio walio wengi ktk mfumo wa ajira rasmi za serikali. Wamezagaa kote nchini vijijini na mijini..

Na kwa sbb hii baadhi yao na kwa ujinga wao hao wachache, hutumika vibaya na CCM nyakati za chaguzi Ili kuishindisha kwa kufanywa mawakala wa wizi wa kura.

Ni sawa tu na kama ambavyo baadhi ya askari polisi wachache, wajinga na wapumbavu ambao hukubali kutumiwa na CCM kuisaidia kuiba kura nyakati za chaguzi..

Gratian Mkoba ni Mwalimu kitaaluma tu. Lakini si mwajiriwa wa serikali . Hayumo ktk wajinga wale wachache ambao hutumika kupalilia uchafu wa CCM mithili ya toilet paper nyakati za chaguzi na baada ya hapo hutupwa kwenye dustbin la uchafu..

Mkoba ni Mwalimu na mtu huru kabisa..
 
Back
Top Bottom