Sisi wengine ni watu wa dini sana, hivyo tunafuata mafundisho ya dini zetu, na kuishika dini. Tulifundishwa kuwa "waacheni wafu wawazike wafu wao".
P
Mkuu Pascal mambo niaje!Sisi wengine ni watu wa dini sana, hivyo tunafuata mafundisho ya dini zetu, na kuishika dini. Tulifundishwa kuwa "waacheni wafu wawazike wafu wao".
P
MmmmmmmhSisi wengine ni watu wa dini sana, hivyo tunafuata mafundisho ya dini zetu, na kuishika dini. Tulifundishwa kuwa "waacheni wafu wawazike wafu wao".
P
Ile recall pale mjengoni haiwezi kukuacha salama hata kidgoSiku hizi Pascal Mayalla umekuwa na adhabu sana kwenye kujibu.. ila hongera
Mfariji mkuuSisi wengine ni watu wa dini sana, hivyo tunafuata mafundisho ya dini zetu, na kuishika dini. Tulifundishwa kuwa "waacheni wafu wawazike wafu wao".
P
Rais ni mfariji mkuu wa nchi baada ya Bwana Mungu.Sisi wengine ni watu wa dini sana, hivyo tunafuata mafundisho ya dini zetu, na kuishika dini. Tulifundishwa kuwa "waacheni wafu wawazike wafu wao".
P
Yah bora njaa ikuue kuliko uletewe chakula, unaambiwa anayekujali ni yule anayekufundisha kulima sio kukuletea chakula maana anakumaliza huku unashibaIvi hamjamsoma tu huyu si mwenzetu..
Rwandese
ndio maana haoni tatizo kuvuruga uchumi na amani ya tanzania..
hata haguswi na maisha ya watz ndio maana alisema "nafuu njaa ikuuwe kuliko mimi nikuletee chakula"
watanzania wanatekwa na kupotea yupo kimya..
watanzania wamepigwa risasi hovyohovyo !
a foreigner ruling abroad !
usimpangie cha kufanya yeye ni rais anayejiamini
Mbona j.k muda wote alihudhuria?Kiongozi sio lazima awepo kila wakati. Ndio maana waziri mkuu yupo. Uwepo wake ungetia hamasa zaidi na kuonesha kujali INGAWA pia usingebadili chochote zaidi ya kuongeza gharama.
Pia, kuna watu wengine kwa asili hawawezi stahimili hali kama ile, huenda wakaumia sana na hata kusababisha matatizo ya kiafya.
Mbona kwa dada aliendaKiongozi sio lazima awepo kila wakati. Ndio maana waziri mkuu yupo. Uwepo wake ungetia hamasa zaidi na kuonesha kujali INGAWA pia usingebadili chochote zaidi ya kuongeza gharama.
Pia, kuna watu wengine kwa asili hawawezi stahimili hali kama ile, huenda wakaumia sana na hata kusababisha matatizo ya kiafya.
tena msiba wa dadake ulikuwa kama wa kitaifa . stiff necked foolsmbona alienda kwenye mazishi ya dada yake na watu wengi walihudhuria na kumpa pole