Rais wa Vietnam atua Dar!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Waziri Mkuu wetu Majaliwa akiwasili Uwanjani kumpokea Rais wa Vietnam Truong Sang!


PICHA%2B24.JPG


PICHA%2B16.JPG


Karibu TanZania Raisi Truong Sang!

vi31.jpg


vi11.jpg



vi21.jpg



HAPA KAZI TU!
 
Imekaa vipi kuja kupokelewa na waziri mkuu badala ya Mwenye cheo kama chake ambaye ni rais Magu?.
 
Vietnam Airlines:
Country
blank.gif
Viet Nam
Airline Founded 1956
Airline Base / Main Hub Hanoi - Noi Bai International (HAN / VVNB)
Secondary Hub(s)
Ho Chi Minh City - Tan Son Nhat International (SGN / VVTS)
Fleet Size- 91 Aircraft (+ 6 On Order/Planned)
Average Fleet Age * 5.7 Years
 
Halotel ni kampuni ya jeshi la Vietnam,lazima kaja kufuatilia uwekezaji huo,nchi yenyewe maskini halafu hatufati protocal
 
Kumbe hata giza huwa anaogopa! Halafu mbona Magu kamgeuza PM mtumwa wake? Maana hata kwenye press anamtuma yeye!!!

Ila yote kwa yote tatizo kubwa la JP Magufuli ni kizungu!! Kwakweli anakwazika sana na hilo jambo!!
 
magufuli kaamua kuchange diplomasia ya Tanzania sasa naona kaamua kufuata diplomasia ya south afrika rais anapokewa na wa waziri wa mambo ya nje rais ataenda kukutana naye ikulu na nchi nyingibz zinafanya hivo.
kumbuka mgeni kabla ya kuwasili huambiwa kabisa kuwa atapokewa na nan. naye kama anafiki hukubali tokana na hadhi yake
 
Siku Malkia akija TZ then kukawa na mkutano wa pamoja na waandishi wa habari lazima jamaa ale kona! Mahiga kafunika madhaifu mengi ya Tingatinga!!
 
Wataalam wa diplomasia tuambieni hii imekaaje? Au Rais wa Vietnam labda sio mkuu wa nchi?
 
Siku Malkia akija TZ then kukawa na mkutano wa pamoja na waandishi wa habari lazima jamaa ale kona! Mahiga kafunika madhaifu mengi ya Tingatinga!!


Malkia yupi aje Tanzania? wako wengi!
 
Back
Top Bottom