Rais wa Venezuela aondolewa

Rais wa Venezuela aondolewa

Maduro is done. Asije ishia pabaya tu.
All strong economies in the Americas wamempa mgongo, na kumkaribisha Juan.

White house nao wanakazia..

"US officials made clear that the White House was focused on economic measures and would look at ways to transfer Venezuelan assets and oil revenues to Guaidó and the opposition-run national assembly.."
 
Kawafukuza Diplomats wote kutoka Marekani na kawapa 72 hrs
Wamarekani wamesema hawataondoka na watajilinda wao na watu wao.....

Senetors wamemkubali aliyejiapisha

Aliyejiapisha kasema kuwa hatakiwi mtu kuondoka wote wakae hapo hapo. ....

Maduro keshawekwa kati CIA washacheza mchezo
Hadi Putin afike maidia keshaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Diplomats wamemgomea!
Sijui kwa nini haachii aka enjoy alivyochuma kwa amani.
Huyu mpinzani wake kwa hii jeuri, inaonekana support yake sio cha mtoto.

Kwa kweli, hii timing ya Putin kutia neno sasa inaonekana kama late.
 
Inaonesha hata jeshi lake tayari lishaingiliwa na CIA
Ila Trump aliapa mtoa jamaa
Na kafanikiwa na kifuatacho kuanzia jioni ya leo masaa ya Tanzania ndio tutajua...

Wamarekani Kiburi sana
Mpaka Diplomats wamemgomea!
Sijui kwa nini haachii aka enjoy alivyochuma kwa amani.
Huyu mpinzani wake kwa hii jeuri, inaonekana support yake sio cha mtoto.

Kwa kweli, hii timing ya Putin kutia neno sasa inaonekana kama late.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Maduro aondolewe tu ameiharibu sana hiyo nchi halafu ni kibaraka wa Russia. Kumbe viongozi wengi ktk Latin America hawamtaki.!
Sasa aliyeharibu nchi hapo ni maduro au USA,watanzania nyie watu wa ajabu mataifa ya ulaya yakisema kitu juu ya Tanzania utasikia mataifa ya kibeberu yatuache ktk mambo yetu but wao mabeberu wakifanya kwenye nchi nyingine basi mabeberu wanakuwa malaika
 
Back
Top Bottom