Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,298
Kiongoz yeyote anaejaribu kupigania watu wake Na kutoka kwenye makucha ya unyonyaji huwa kl siku wana mtafutia namna ya kumtoaHuyo Maduro aondolewe tu ameiharibu sana hiyo nchi halafu ni kibaraka wa Russia. Kumbe viongozi wengi ktk Latin America hawamtaki.!
Naamin hawez kutoka madarakani Kwa kuwa nchi tayar imesha meguka kuna ambao wanamsapot rais Na Kusema Matatizo ya uchumi nchi c maduro aliye sababisha bl ni marekani Na kunaombao wanamsapot mpinzan kwaiyo ngoma ni mbichi sanaMpinzani nchini Venezuela ajiapisha kuwa Rais na amepata sapoti ya Marekani na Canada
Avertissement de redirection
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamin hawez kutoka madarakani Kwa kuwa nchi tayar imesha meguka kuna ambao wanamsapot rais Na Kusema Matatizo ya uchumi nchi c maduro aliye sababisha bl ni marekani Na kunaombao wanamsapot mpinzan kwaiyo ngoma ni mbichi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio dawa mpya ya kudili na Madikteta popote walipo,ukinyanyasa wapinzani na kucheza faulo kwenye ballots box hii dawa mpya.Huyo ndo Muamerika,"baba wa demokrasia"
Kweli maana hajaonesha hata nia ya kwenda mtafuta huyo aliyejitangazaEnzi za Maduro zimefika tamati.
Jamaa atakuwa na mwisho mbaya maana hata akiondoka madarakani huenda akapelekwa mahakamani kwa mauaji ya wapinzani kwenye utawala wake.Kweli maana hajaonesha hata nia ya kwenda mtafuta huyo aliyejitangaza
Sent using Jamii Forums mobile app