fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 13,037
- 24,895
Kwa Hy humu unatumia kitochi
Kwa Hy humu unatumia kitochi
Inamaana hayupo humu JF?RAIS WA URUSI VLADIMIN PUTIN HATUMII KABISA SIMU JANJA
Rais wa Urusi Vladimin Putin hatumii kabisa simu janja
Spread the love
Katika dunia ya sasa kila mmoja anajitahidi kumiliki simu janja, lakini rais wa Urusi Vladimir Putin ameweka wazi kwamba yeye binafsi hatumii simu janja.
Rais Putin mwenye umri wa miaka 65 na anayeongoza taifa la watu milioni 144 aliyasema hayo huko Siberia alipokutana na wanasayansi na kushangaa kila mtu mfukoni mwake kulikuwa na simu janja.
Rais wa Urusi Vladimin Putin hatumii kabisa simu janja
Rais wa Urusi Vladimin Putin hatumii kabisa simu janja: Rais wa Urusi amesema kuw yeye hatumii kabisa simu rununu.
Alisema hana maslahi ya kujiunga na mitandao ya kijamii ya habari tofauti na mwenzake wa Marekani Donald Trump ambaye hutumia Twitter kama silaha yake binafsi ya kisiasa
Rais Putin anaamini iwapo angekuwa anatumia simu janja basi simu hiyo ingeita kila mara. Pia, Rais Putin husoma dondoo za taaarifa rasmi tu kwenye mitandao ya kijamii ingawa yeye mwenyewe hajajiunga na mtandao wowote wa kijamii.
Mwaka jana alipokutana na watoto wa shule aliulizwa kama anatumia Instagram au mtandao wowote wa kijamii na alijibu kwamba binafsi hatumii na kwamba siku yake ya kazi ni ngumu na hukamilika mwishoni kabisa wa siku.
Siku za nyuma Putin aliwahi pia kusema kuwa
Intanet na mitandao ya kijamii ni miradi maalum ya C.i.a
Source;teknokona View attachment 2301145
Malkia Elizabeth kuna mwaka alisema hajui kabisa kutumia mitandao ya kijamii. Na yakushtusha zaidi ni Laptop kama kumbukumbu zangu zipo sawa!Putini ni kiongozi asiyejiamini alikosea tiwa adabu hivi karibuni, anajua simu janja wenyewe ni Marekani na Ulaya hivyo yeye mpaka sasa hana technologia ya kuipiku anahofu kwamba aki-slide simu janja atauwawa ndivyo mtu mwoga alivyo, kuna watu wanasema Mrusi ana technologia ya juu zaidi duniani sasa huu ushahidi tosha akitaka kupiga simu mpaka awe nyumbani ashike huu mkonge wa miaka 60 iliyopita
Kwani putin anasema hatumii sababu ya hofu au umetunga mwenyewe.... tawala za kiimla ndio zao. If the leadership is by the people and for the people kiongozi anakuwa hana hofu yoyote.
Wewe umeambiwa hatumii kwa sababu ana hofu???Matumizi ya simu yanahusiana vipi na uimla?? Halafu kwani wamesema hawasiliani..si unasikia kila siku mara kaongea na Macron etc....Je..kwa hiyo nchi zote ambazo viongozi wao wanatumia simu janja ziko vizuri kwenye utawala bora sio???... tawala za kiimla ndio zao. If the leadership is by the people and for the people kiongozi anakuwa hana hofu yoyote.
Huku umecomment na tochizinaniondelea focus tu
Haya tumekusikiaPutini ni kiongozi asiyejiamini alikosea tiwa adabu hivi karibuni, anajua simu janja wenyewe ni Marekani na Ulaya hivyo yeye mpaka sasa hana technologia ya kuipiku anahofu kwamba aki-slide simu janja atauwawa ndivyo mtu mwoga alivyo, kuna watu wanasema Mrusi ana technologia ya juu zaidi duniani sasa huu ushahidi tosha akitaka kupiga simu mpaka awe nyumbani ashike huu mkonge wa miaka 60 iliyopita
Putin mpuuzi tuuuu, wenzake wote wanatumia izo iPhone lakini yeye kwa kuwaua wenzake amebobea, Ndio maana anawaogopa warusi wenzake kwa kuwauaila Putin ni ‘kachero’ mbobezi kweli kweli
RAIS WA URUSI VLADIMIN PUTIN HATUMII KABISA SIMU JANJA
Rais wa Urusi Vladimin Putin hatumii kabisa simu janja
Spread the love
Katika dunia ya sasa kila mmoja anajitahidi kumiliki simu janja, lakini rais wa Urusi Vladimir Putin ameweka wazi kwamba yeye binafsi hatumii simu janja.
Rais Putin mwenye umri wa miaka 65 na anayeongoza taifa la watu milioni 144 aliyasema hayo huko Siberia alipokutana na wanasayansi na kushangaa kila mtu mfukoni mwake kulikuwa na simu janja.
Rais wa Urusi Vladimin Putin hatumii kabisa simu janja
Rais wa Urusi Vladimin Putin hatumii kabisa simu janja: Rais wa Urusi amesema kuw yeye hatumii kabisa simu rununu.
Alisema hana maslahi ya kujiunga na mitandao ya kijamii ya habari tofauti na mwenzake wa Marekani Donald Trump ambaye hutumia Twitter kama silaha yake binafsi ya kisiasa
Rais Putin anaamini iwapo angekuwa anatumia simu janja basi simu hiyo ingeita kila mara. Pia, Rais Putin husoma dondoo za taaarifa rasmi tu kwenye mitandao ya kijamii ingawa yeye mwenyewe hajajiunga na mtandao wowote wa kijamii.
Mwaka jana alipokutana na watoto wa shule aliulizwa kama anatumia Instagram au mtandao wowote wa kijamii na alijibu kwamba binafsi hatumii na kwamba siku yake ya kazi ni ngumu na hukamilika mwishoni kabisa wa siku.
Siku za nyuma Putin aliwahi pia kusema kuwa
Intanet na mitandao ya kijamii ni miradi maalum ya C.i.a
Source;teknokona View attachment 2301145
DesktopHuku umecomment na tochi
Sasa tofauti ni nini? Mtu anasema hatumii smart na vitu vyote vinavopatikana huko anavipata kwenye computer ndo nini sasa , tumia tochi usitumie internet kwa jambo lolote ishi maisha ya kitoshi ndo uje u comment tena hutumii simu janjaDesktop