Rais wa Ukraine Zelensky eti naye adiriki kumpongeza Donald Trump kwa ushindi

Rais wa Ukraine Zelensky eti naye adiriki kumpongeza Donald Trump kwa ushindi

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
609
Reaction score
1,426
Kaposti kupitia ukurasa wake wa X.

Zelensky
"I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can practically bring just peace in Ukraine closer.”

Hii ni habari mbaya sana kwa huyu hayawani: lazima akose usingizi siku ya leo.
 
Attachments

  • IMG_20240903_100651.jpg
    IMG_20240903_100651.jpg
    29.4 KB · Views: 15
Kaposti kupitia ukurasa wake wa X.

Zelensky
"I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can practically bring just peace in Ukraine closer.”

Hii ni habari mbaya sana kwa huyu hayawani: lazima akose usingizi siku ya leo.
Mna chuki na Zelesky kawafanyaje?
 
Mna chuki na Zelesky kawafanyaje?
Kila akiizungumzia Marekani anaomba pesa, silaha na misaada mingine akidai vitakuwa game changers kwenye vita.

Ameshapewa mara kibao tu, lakini hakuna jipya. Trump mwenyewe kaamua kumwazikia (yaani kumchana waziwazi).

Hakuna mtu anayemchukia, bali kitendo chake cha kuwaangamiza askari wake kila siku wakati akijua hawezi kushinda, linatufanya kuhoji uwezo wa akili yake.

Alikuwa anashindwa kufanya maamuzi kama mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu, badala yake anakuwa kipaza sauti cha NATO. Shame on him!
 
Kaposti kupitia ukurasa wake wa X.

Zelensky
"I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can practically bring just peace in Ukraine closer.”

Hii ni habari mbaya sana kwa huyu hayawani: lazima akose usingizi siku ya leo.
Well for the record hajiiti , bali ni true president of ukraine kwa kupigiwa kura.
Sioni baya kutoa pongezi kwa trump kushinda uchaguzi
 
We mkxndu mweusi kwani huyo sio rais?watu weusi wanakuwaga na madharau huku hawana akili wala utajiri dhidi ya ngozi nyeupe..hii thread imenikera ungeku karibu ningekumwagia tindi kali
 
Usichokijua Rais Trump hawezi kusitisha msaada kwa Ukraine na hawezi kuharibu huo utaratibu.
 
Back
Top Bottom