Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga

Mimi naona kuepudha haya yote kanisa lianze utaratibu wa watawa kuoa na kuolewa tu...ijulikane kila mtu ana mume / mke wake
Mungu hadhihakiwi bora waoe iwe wazi kuliko kutokuoa au kutokuolewa halafu wanafanya mambo ya ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah kutoruhusiwa kuowa inawafanya maradhi ya nafsi yanapitiliza. Unakuta wengine wanabaka watoto nk nk

Umeona ee. .....Nina imani wangewaruhusu kuoa na kuolewa labda labda tatizo lingepungua maana yote haya wanafanya baada ya kuwaka tamaa....na ukizingatia muda mwingi wanakuwa na wanaume wenzao na wale wavulana wanaotumikia ndiyo yanaanza kuja mawazo ya kulawitiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume.

Soma mwenyewe hapa toka RT News.
‘Most of them are gay’: Duterte urges Vatican to allow its ‘useless’ priests to have boyfriends

Mwezi uliopita Durteete alisema 90% ya mapadri wote Duniani ni mashoga akamtaka papa aruhusu mapadri wawe huru kua na wanaume wao maana kujificha au kuficha tatizo ndio kunachangia zaidi ushoga kwa mapadri.
Duterte: Almost 90% of Catholic priests are homosexuals

1. Anaweza kuwa anataka kueleza tatizo linalowakumba makasisi lakini njia anayopendekeza kumalizana na tatizo husika ndio njia ya kijinga kabisa katika kulimaliza. Huwezi kupendekeza njia inayokoleza tatizo. Hata nyakati za Yesu walikuwapo Makuhani waliokuwa wanakiuka maadili ya kazi zao lakini Yesu hakuwahi kupendekeza njia kama ya Durtete.

2. Pamoja na makasisi hao kuwa homosexual lakini bado ni watulivu, wapole,wavumilivu na walio tayari kusamehe. Kama Durtete anataka Dunia iwake moto basi atoe shutuma kama hizo kwa Waislamu. Hapo ndipo atajua kwamba kumbe kuna makuhani wanaume kweli kweli.
 
Wakatoliki wanamwambia aache kuua yeye ndio anashupalia issues hizo.
Hizo statistics ametoa wapi? Kwani dini gani haina mashoga?
 
1. Anaweza kuwa anataka kueleza tatizo linalowakumba makasisi lakini njia anayopendekeza kumalizana na tatizo husika ndio njia ya kijinga kabisa katika kulimaliza. Huwezi kupendekeza njia inayokoleza tatizo. Hata nyakati za Yesu walikuwapo Makuhani waliokuwa wanakiuka maadili ya kazi zao lakini Yesu hakuwahi kupendekeza njia kama ya Durtete.

2. Pamoja na makasisi hao kuwa homosexual lakini bado ni watulivu, wapole,wavumilivu na walio tayari kusamehe. Kama Durtete anataka Dunia iwake moto basi atoe shutuma kama hizo kwa Waislamu. Hapo ndipo atajua kwamba kumbe kuna makuhani wanaume kweli kweli.
Morally the church questions him about his ways of governing Philippines. And the church is very powerful there. Anajitetea kwa hizo njia mbadala
 
Ushoga na Ukatoliki ni Pete na Kidole vile vile Ushoga na wale wa Ijumaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna dhambi fulani Fulani tu unazoweza kuzikuta kwa Kanisa fulani tu. Suala la Ushoga ni la dunia nzima. Wamo wapagani, Waislamu, wakristu, Wasabato na kila Makundi ya binadamu. Jaribu ku-google uone Wachungaji,wainjlisti na Walimu Wa Kisabato mashoga na jinsi wengine walivyoweza kuwanyanyasa watoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom