Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga

Kuna taasisi kubwa zinashikilia dunia.

Utatukana tukana weee kisha siku moja unaamka nywele za upande mmoja zimenyonyoka.

Miaka miwili mbele, kuhema hauwezi na wanaokupa tiba ni hizo taasisi.

Kisha unakufa.
Hivi ni vitisho ambavyo vimepitwa na wakati. Ingekua hvyo basi wachina wangekua washakufa sana maana wao kitu kama hcho hakipo. North Korea, Vietnam, Burma na kwingineko.

Kanisa linazidi kupoteza ushawishi siku hadi siku. Mwisho kanisa itakua ni hadith za kizamani.
 
Kuna kitu najifunza kutoka kwa wachangiaji wa uzi huu. Inaonekana kanisa katoliki ni kanisa lenye nguvu sana na linapingwa sana na wale wachache wasiokua waamini wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni vitisho ambavyo vimepitwa na wakati. Ingekua hvyo basi wachina wangekua washakufa sana maana wao kitu kama hcho hakipo. North Korea, Vietnam, Burma na kwingineko.

Kanisa linazidi kupoteza ushawishi siku hadi siku. Mwisho kanisa itakua ni hadith za kizamani.
Iwe hadithi ama la. Kanisa Katoliki ni miongoni mwa taasisi zinazoshikilia dunia.
 
Hivi ni vitisho ambavyo vimepitwa na wakati. Ingekua hvyo basi wachina wangekua washakufa sana maana wao kitu kama hcho hakipo. North Korea, Vietnam, Burma na kwingineko.

Kanisa linazidi kupoteza ushawishi siku hadi siku. Mwisho kanisa itakua ni hadith za kizamani.

Ningetamani Uishi ili hayo maono yako yashindwe kutimia huku ukiona?
 
Yeye anasema waziwazi matatizo ya Kanisa lakini Kanisa litasema kwa njia ya Sanduku la Kura kimyakimya. Nina imani hataweza kurudi madarakani.
Hilo tatizo la leo ndani ya Kanisa Katoliki?

Mnashangaza sana, au na nyie ni mashoga? Maana mnatetea ushoga ndani ya kanisa tena wachungaji wa kondoo. Mnafahamu wameshaharibu watoto wengi duniani duniani mpaka Umoja wa Mataifa ukapiga makelele.

Hivi mnachokitetea ni nini haswa?
 
Ukweli mchungu eenh? Hajaanza leo huyo.
Kweli gani? Unfortunately sidhani kama umewahi kutuliza akili na kujaribu kujifunza kanisa katoliki like, lina nini na lina nguvu kiasi gani. You will be surprised.
In my humble opinion, usijaribu kabisa kuchezea kanisa. The twist and turns of Catholic church are more than what you think. Wameshindwa waamerika sembuse Philippines?
 
Nasikia sheikh wenu mkuu ni shoga,we mweupe mlaini.Kwanini msishauri masheikh waolewe?
Duterte aliyeshauri ni Mkatoliki mwenzenu tena ni Rais wa Ufilipino. Masheikh inawahusu nini ushoga wenu wa kanisani?

Mimi nnaamini hili kanisa linafanya makusudi kueneza ushoga duniani kwani kesi za kuharibu watoto ni nyingi sana dunia nzima. Kwanini hamfunguwi macho?

Hakika mioyo yenu ina maradhi na Mwenyezi Mungu anawazidishia maradhi. Hata uovu mnatetea? Khaaa!
 
Ni muislam mpumbavu,anaungana tu na wafuasi wa shetani wachache kupambana na kanisa la kweli wakiongozwa na Mohammed SAW ambaye alikusanya wapumbavu mamilioni na kuwatawala kupitia ndoto alizopewa na shetani mnazoziiya aya za Quaran.
Hahahaha unataka kuhamisha magoli? Kawaoeni mapadri, fateni ushauri wa Duterte.
 
Duterte aliyeshauri ni Mkatoliki mwenzenu tena ni Rais wa Ufilipino. Masheikh inawahusu nini ushoga wenu wa kanisani?

Mimi Naamini hili kanisa zinafanya makusudi kueneza ushoga duniani kwani kesi za kuharibu watoto ni nyingi sana dunia nzima. Kwanini hamfunguwi macho?

Hakika mioyo yenu ina maradhi na Mwenyezi Mungu anawazidishia maradhi. Hata uovu mnatetea? Khaaa!
Ameukana ukatoliki hadharani...what else would prove otherwise?
Kuna Mtu aliitwa Napoleon. He conquered all the Europe but not Vatican! Why? With his godlessness!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom