Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga

Hauna hoja ya msingi mada inajieleza pinga au kubali sio kueleza vitu ambavyo havieleweki suala la ushoga na Kanisa pendwa ni za muda na wapo makasisi waliokili hivyo tafuteni njia mbadala utatuzi wa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jamaa kakiri kwamba mapadri huwa wanafira na kufirana.Kwa hiyo amejibu hoja kwa kinyumenyume,yaani kipadripadri.
 
Hahahaaa duterte kavurugwa " inshort hawapendi RC na hataki hata kuwasikia " ... yeye anawatafasiri kuwa RC ni wezi tu wapigaji wakubwa " wanao tumia mwamvuli wa dini " kukwapua fedha za watu " ....

Awe makini tu jamaa wata mu-assassin aise "

Sent using Jamii Forums mobile app
wakiamua hawashindwi. Wakatoliki logically ndo wanatawala dunia
 
duuuuh hadi nimeogopa aisee. kumbe wakatoliki ni wachafu hivi????mungu wangu.........Kanisa gani linatetea ushoga na lililojaa mashoga?Angalieni shule za kikatoliki zinavyotoa na uwepo wa mashoga shule hizi inasikitisha sana
 
Ambao ni mashoga ni makosa yao binafsi si msimamo wa Kanisa Katoliki. Hata walioko kwenye ndoa wanabaka, ni mashoga, wanalawiti, Wana vimada, wanachepuka ila hayo pia ni makosa yao binafsi si msimamo wa ndoa.
Weeh Amber boy kweli
 
Waktoliki huwa hatuna muda wa kubishana na dini ambazo zimeacha kuhubiri injili na msahafu zinashindana kulitukana kanisa katoliki,mahubiri na mafundisho yao ni dhidi ya kanisa katoliki.PETRO WEWE NI MWAMBA NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU NA HALITATIKISIKA MILELE DAIMA......Nyie waislamu na wapumbavu wengine endeleeni kupambana na kanisa katoliki SISI KANISA MOJA KATOLIKI TAKATIFU LA MITUME tunaihubiri injili ya bwana Yesu.
Na kanisa katoliki ndo shina la vikanisa vyote njaa,, ndo kanisa lenye dola kamili duniani nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom