Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga

Ambao ni mashoga ni makosa yao binafsi si msimamo wa Kanisa Katoliki. Hata walioko kwenye ndoa wanabaka, ni mashoga, wanalawiti, Wana vimada, wanachepuka ila hayo pia ni makosa yao binafsi si msimamo wa ndoa.
Kwa tafsiri ya haraka anajaribu kuonesha namna gani tatizo lilivyokubwa katika kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume.

Soma mwenyewe hapa toka RT News.
‘Most of them are gay’: Duterte urges Vatican to allow its ‘useless’ priests to have boyfriends

Mwezi uliopita Durteete alisema 90% ya mapadri wote Duniani ni mashoga akamtaka papa aruhusu mapadri wawe huru kua na wanaume wao maana kujificha au kuficha tatizo ndio kunachangia zaidi ushoga kwa mapadri.
Duterte: Almost 90% of Catholic priests are homosexuals
Heko Duterte, huyo ni kiboko ya kanisa katoliki aliwaambia wazi kuwa walimfundisha kuwalawiti mapadri akiwa mdogo. Hawapendi kabisa.
 
Rais Duterte wa Ufilipino nadhan aliathirika kisaikolojia maana amesema alivokua kijana alinyanyashwa kijinsia na Padre na yeye alivokua alimnyanyasa kijinsia House girl wake... Huyu Rais amekua mtata japo anasapoti Mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufilipino lazima asapoti mashoga kwani kwa mila zao huwi mwanamme kamili kama hujazaa mtoto wa kiume, wa kike na shoga.
 
Rais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume.

Soma mwenyewe hapa toka RT News.
‘Most of them are gay’: Duterte urges Vatican to allow its ‘useless’ priests to have boyfriends

Mwezi uliopita Durteete alisema 90% ya mapadri wote Duniani ni mashoga akamtaka papa aruhusu mapadri wawe huru kua na wanaume wao maana kujificha au kuficha tatizo ndio kunachangia zaidi ushoga kwa mapadri.
Duterte: Almost 90% of Catholic priests are homosexuals
Hii nchi inaongozwa na chizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ndugu yangu lakini wanachokosea mapadri kwanini wawe mashoga wa kisirisiri?
Kwani we ni shoga unaejionesha? Hubirini neno la Mungu acheni kupambana na kanisa katoliki, lina nguzo imara na halitatikisika kwa kulishambulia.....shoga ni mtu siyo kanisa.....kuna wachungaji wenu,masheikh na wahubiri wa kisabato mashoga waliobobea lakini huji kusikia padri wa kanisa katoliki anasema mchungaji shoga zaidi ya kukemea ushoga kwa ujumla.
 
Ambao ni mashoga ni makosa yao binafsi si msimamo wa Kanisa Katoliki. Hata walioko kwenye ndoa wanabaka, ni mashoga, wanalawiti, Wana vimada, wanachepuka ila hayo pia ni makosa yao binafsi si msimamo wa ndoa.
Unayoyasema ni kweli lakini hayana uhusiano na mada iliyopo mezani. Hapa hatujadili sababu za mapadri kuwa Mashoga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waktoliki huwa hatuna muda wa kubishana na dini ambazo zimeacha kuhubiri injili na msahafu zinashindana kulitukana kanisa katoliki,mahubiri na mafundisho yao ni dhidi ya kanisa katoliki.PETRO WEWE NI MWAMBA NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU NA HALITATIKISIKA MILELE DAIMA......Nyie waislamu na wapumbavu wengine endeleeni kupambana na kanisa katoliki SISI KANISA MOJA KATOLIKI TAKATIFU LA MITUME tunaihubiri injili ya bwana Yesu.
Hujajibu hoja....kwani Duterte Ni muislam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom