Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga


H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
388
Likes
1,315
Points
180
Age
29
H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
388 1,315 180
Rais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume.

Soma mwenyewe hapa toka RT News.
‘Most of them are gay’: Duterte urges Vatican to allow its ‘useless’ priests to have boyfriends

Mwezi uliopita Durteete alisema 90% ya mapadri wote Duniani ni mashoga akamtaka papa aruhusu mapadri wawe huru kua na wanaume wao maana kujificha au kuficha tatizo ndio kunachangia zaidi ushoga kwa mapadri.
Duterte: Almost 90% of Catholic priests are homosexuals
 
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2010
Messages
841
Likes
966
Points
180
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2010
841 966 180
Ambao ni mashoga ni makosa yao binafsi si msimamo wa Kanisa Katoliki. Hata walioko kwenye ndoa wanabaka, ni mashoga, wanalawiti, Wana vimada, wanachepuka ila hayo pia ni makosa yao binafsi si msimamo wa ndoa.
 
H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
388
Likes
1,315
Points
180
Age
29
H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
388 1,315 180
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Messages
2,098
Likes
3,708
Points
280
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2015
2,098 3,708 280
Waktoliki huwa hatuna muda wa kubishana na dini ambazo zimeacha kuhubiri injili na msahafu zinashindana kulitukana kanisa katoliki,mahubiri na mafundisho yao ni dhidi ya kanisa katoliki.PETRO WEWE NI MWAMBA NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU NA HALITATIKISIKA MILELE DAIMA......Nyie waislamu na wapumbavu wengine endeleeni kupambana na kanisa katoliki SISI KANISA MOJA KATOLIKI TAKATIFU LA MITUME tunaihubiri injili ya bwana Yesu.
 
M

mumby

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2014
Messages
2,418
Likes
1,493
Points
280
M

mumby

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2014
2,418 1,493 280
Waktoliki huwa hatuna muda wa kubishana na dini ambazo zimeacha kuhubiri injili na msahafu zinashindana kulitukana kanisa katoliki,mahubiri na mafundisho yao ni dhidi ya kanisa katoliki.PETRO WEWE NI MWAMBA NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU NA HALITATIKISIKA MILELE DAIMA......Nyie waislamu na wapumbavu wengine endeleeni kupambana na kanisa katoliki SISI KANISA MOJA KATOLIKI TAKATIFU LA MITUME tunaihubiri injili ya bwana Yesu.
Ni kweli ndugu yangu lakini wanachokosea mapadri kwanini wawe mashoga wa kisirisiri?
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,610
Likes
29,437
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,610 29,437 280
Hahahaaa duterte kavurugwa " inshort hawapendi RC na hataki hata kuwasikia " ... yeye anawatafasiri kuwa RC ni wezi tu wapigaji wakubwa " wanao tumia mwamvuli wa dini " kukwapua fedha za watu " ....

Awe makini tu jamaa wata mu-assassin aise "

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,892
Members 481,523
Posts 29,749,792