Rais wa TFF, Wallace Karia kumteua mrundi kuwa Katibu Mkuu wa TFF

Mkuu mkimbizi ni mkimbizi tu hata. kama angekuwa nchini tangu 1905. Watu wa aina hiyo ndiyo wanaotugharimu. Binafsi nampongeza cybercrime kwa kufanya udukuzi, ni mzalendo huyu
Wanawagharimu nini ?

Ingekuwa hivyo USA isingekuwa nuclear state ,isingekuwa super power na isingesifika na technology Leo hii

Who the cap fit let him wear it kama no raia no problem

Waliowa gharimu nyinyi ni wazawa msitafute escape goat
 
Ndio, ana asili ya Somalia mzazi mmoja. Na yeye anataka kiteua mwenye asili ya Burundi kuwa Katibu Mkuu. Isije kuwa ndio wanajipenyeza kupitia kwenye Soka.

Haiwezi kupita akilini bila kukushtua kidogo
Huyo kidau amekua kwenye medani ya soka Leo ?? Tokea miaka na miaka namsikia kidau acheni kumzushia karia

Kipindi cha malinzi kidau alikuwa tff kwanini.mnaanza kumsema karia awamu yake

Team majungu kwenye ubora wenu
 
Tarehe 17/02/2018 katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais wa Shirikisho hilo , WALLACE KARIA anataraiia kumteua raia wa Burundi, KIDAO WILFRED kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo. KIDAO ni raia wa Burundi aliyeingia nchini kama Mkimbizi akiwa na Wazazi wake Miaka ya 1980.

Pia Mpango huo wa KARIA ni kinyume cha taratibu za kujaza nafasi hiyo ambapo inatakiwa kutangazwa na kutoa fursa kwa Watanzania wenye sifa kuomba.

Makatibu wote wa TFF waliopita walipatikana kwa nafasi hiyo kutangazwa ambao ni FREDRICK MWAKALEBELA , ANGETILE OSIAH na MWESIGWA SELESTINE.

Aidha ili kuhakikisha wajumbe wa kamati ya utendaji wanapitisha jina la Kidao, Karia amepanga kutoa rushwa ya shillingi milioni tano kwa kila mjumbe.
Mbona wakati ana chezea timu ya Taifa hamjasema ni Mrundi?
 
Huyu KARIA mwenyewe aliupataje huo urais wa tff? Maana inasemekana ni Msomali. Halafu nasikia anajilipa posho za safari hata kama safari hizo zinapaswa kulipwa na CAF au FIFA
Katibu Mkuu wa CCM naye ana rangi kama ya Karia! Acheni majungu, sote ni watz, tuijemge nchi yetu
 
Tarehe 17/02/2018 katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais wa Shirikisho hilo , WALLACE KARIA anataraiia kumteua raia wa Burundi, KIDAO WILFRED kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo. KIDAO ni raia wa Burundi aliyeingia nchini kama Mkimbizi akiwa na Wazazi wake Miaka ya 1980.

Pia Mpango huo wa KARIA ni kinyume cha taratibu za kujaza nafasi hiyo ambapo inatakiwa kutangazwa na kutoa fursa kwa Watanzania wenye sifa kuomba.

Makatibu wote wa TFF waliopita walipatikana kwa nafasi hiyo kutangazwa ambao ni FREDRICK MWAKALEBELA , ANGETILE OSIAH na MWESIGWA SELESTINE.

Aidha ili kuhakikisha wajumbe wa kamati ya utendaji wanapitisha jina la Kidao, Karia amepanga kutoa rushwa ya shillingi milioni tano kwa kila mjumbe.
Nchi hii shamba la bibi mwanzo, mwisho.
Rais mwenyewe ni Msomali. Hilo halina ubishi.

Sasa anataka kutuletea foreigner mwenzake ili watuendeshe vizuri.
 
Wewe ambaye babako na mamako,bibi na babu wazawa umeifanyia nini Tanzania,je toma hiyo mwaka 80 unataka kusema hakuomba uraia,je wewe si kati ya wale mlosema MWINYI na SALIM waarabu,MKAPA wa Msumbiji,KIKWETE Mkomoro na MAGUFULI Mnyarwanda.
 
Back
Top Bottom