Rais Wa Tanzania ulikuwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Wa Tanzania ulikuwa wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Jul 1, 2012.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WanaJF Na Watanzia wenzangu,nimepata bahati ya kuisoma kwa makini Hotuba ya Mkuu wa kaya.Kuna jambo moja tu nimeliona nilizungumzie.Nalo linawagusa madaktari.Kimsingi wapo watakaonielewa vibaya kwamba nawatukana madaktari.Kwa tamko lake mkuu wa kaya,amesema daktari ajipime kama anaona kuajiriwa na serikali anapunjwa,basi aache kazi na kwa tafsiri nyingine abaki kama ataridhika ila mgomo si sehemu ya mkataba wa kazi.Binafsi ni kauli ambayo niliitaka kama nguzo ya serikali ya kusimamia.Ila tujiandae kwa huduma za afya zilizo chini ya kiwango.Zipo sheria za mishahara kulingana na taaluma ya mtu mwenyewe,wote ni madokta.Je,walipwe sawa?Wote ni tembo lakini kuna mkubwa kwa umbo lakini hana uzito.Hivyo kuna wengine ni mkumbo tu.Pamoja na changamoto zote bado jibu linabaki kuwa MEZA YA MAJADILIANO NA MAKUBALIANO NDIO ITAMALIZA TATIZO.Lakini ukitazama hotuba ya MKUU WA KAYA tayari itaibua hatua nyingine au taswira nyingine ya mgomo huo.Mimi na wewe tutarajie nini basi?
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hiyo ni kauli chonganishi na wala sio kauli thabiti..kama amir jeshi mkuu alipaswa kusema nawafukuza kazi waliogoma au hawafukuzi...stretch your brain and think beyond the next meal!! kikwete si kiongozi shupavu...hotub nzima imejaa ulaghai na kutaka huruma ya wananchi!!
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  I have proven that kikiwete is too soft to lead this nation.....
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Ndugu mleta mada nikiweka hiyo hotuba ya Kikwete hapa unaweza kutuonesha ni wapi Mkwele alipotamka kwamba asiyetaka kazi na aache?
   
 5. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nanukuu:"KUTOKANA NA UKWELI HUO BASI KAMA DAKTARI ANAONA HAWEZI KUFANYA KAZI SERIKALINI BILA KULIPWA MSHAHARA HUO AWE HURU KUACHA KAZI NA KWENDA KWA MWAJIRI ANAEWEZA KUMLIPA KIASI HICHO" Mwisho wa kumnukuu.
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ni Hosptali ipi ya serikali inayotoa huduma yenye kiwango mkuu? Hebu nenda MNH uone kama ni Hospitali au magereza
   
Loading...