Mzee sikubahatika ila baada ya kuangalia mara nyingi ndo nikaiona tarehe. Ila nasubiria sana siku JPM atakapofanya tukio kama hilo. Itakuwa bonge la historia!

Endelea kusubiria meli airport. Na kama hiyo meli ikija. Haitamaliza safari yake salama na kama ikimaliza safari salama itakua safari ya kihistoria na kila mtu atamkubali.

lazima atagoma tu hana muda na hayo mambo sasa hivi anavinyoosha kwanza vitoto vya shule vinavyopenda kuambiwa i love you. juzi sengerema alivichimba bonge la mkwara mpaka vikawa vinatetemeka.