Rais wa Tanzania kufanya mahojiano na MSNBC-Andrea Mitchel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Tanzania kufanya mahojiano na MSNBC-Andrea Mitchel

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pakawa, May 18, 2012.

 1. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,126
  Trophy Points: 280
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  mda gani kwa saa za tanzania?
   
 3. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,126
  Trophy Points: 280
  Ukiwa mvumilivu in 15-30min. atakuwa hewani
   
 4. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,126
  Trophy Points: 280
  Tune in now baada ya Bono ni mkulu.
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu naona Bono bado anaongea
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  kwa kwa kiswahili ntasikiliza kama english mtanisimulia maana ndugu yetu kwenye iyo lugha ya kigeni huwa namwonea huruma sana
   
 7. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,126
  Trophy Points: 280
  Nadhani atatumia lugha ya kiingereza...Umesikia wanasema 'He is a very special man'
  Mimi naogopa kusikiliza kama ni kwa lugha ya Malkia maana lugha gongana kwa mkulu
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Mh!mnantisha!!yaani baba Mwanaasha huyuhuyu au mwingine?
   
 9. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ameanza mkulu yuko hewani anaelezea mambo ya maendeleo vijijini
   
 10. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  tayari yuko hewani ngoja tumsikilize
   
 11. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani wana jf mwangarieni rais kikwete live msnbc
   
 12. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  huyu bono ni nani.anasifia bongo kashapewa ardhi huku sijui wapi jamani tumeuzwa tena yaani mpaka kwenye tv live hekta hapo amewapa.
   
 13. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Anakaribisha maombi yakuhodhi ardhi yetu kwa wazungu
   
 14. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,126
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimeshangaa mbona anaisifia sana Tz. TUMEUZWAAAAAAAA???????
  Hapa ngoja nijicontradict mwenyewe...Nimependa pale tu aliposema Mt. Kilimanjaro..Wakenya mpo hapo imekula kwenu!
   
 15. m

  mchachai Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan mukulu sasa kaamua kutuliza live,mpk bono anataja atwn,kashapewa ekari za kutosha.kashamaliza.mtangazaji alitakuka kuchomekea swali kuwa vp m4c mkulu akaanza kuinuka.
   
 16. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nimechelewa oooh!
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CC ya CCM ambayo yeye Kikwete alikuwa mwenyekiti wake wamesema kwa kauli moja ardhi ibakie mikononi mwa serikali. Siku mbili baadae anapanda ndege kwenda Marekani na anafanya exactly the opposite! Nape Nape!

  @MODs, hii thread inastahili kuwa kwenye jukwaa la siasa.
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mbona sielewi kilichojiri?@Pakawa
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  acha NEC ya ccm na serikali waongee,sisi wanyenchi ndio tuna final say!
   
 20. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  sijaipata nimechelewa naona wanamuonyesha Obama
   
Loading...