Duh! mshikaji Hongera Sana kwa kutukumbusha haya yapo kaka; usishangae mwekiti wa vijana kuwa Liziwani JK pia Raisi wa Zenji Mwana wa Mwinyi
Huo wino mwekundu nilitaka kuweka sawa kwamba kwa mfumo wa uchaguzi wa CCM wanatofautiana miaka na uchaguzi wa serikali. Hivyo hata kwa mzee Mwinyi kilichotangulia ni urais na sio uenyekiti.Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika wakati wa uchaguzi Mwinyi alishika uenyekiti na hatimaye kuwa Rais.
Baada ya hapo zikaja fununu nyingi tena kwamba nani kumrithi Mwinyi. Kukawa na majina mawili kati ya Mkapa na JK. Mkongwe wa siasa Mwl Nyerere alimshauri JK asubiri yaani amwachie nafasi Mkapa kwani JK alikuwa ni mdogo kiumri kuliko Mkapa! Mwl alimwakikishia JK kwamba yeye atafuata baada ya Mkapa. Mambo yalikuwa hivyo! Kweli sikuamini masikio yangu pale nilipokuja kusikia JK ndio katangazwa mrithi wa Mkapa na hatimaye kuwa Rais.
Baada ya hapo nilidhani labda ni kwa Marais tu kumbe hata mawaziri wakuu! Wakati JK alipochaguliwa kuwa mgombea urais nikasia tetesi kwamba Lowasa piga ua lazima awe waziri mkuu...nadhani wote mlijionea nani alikuwa waziri mkuu!!
Je ni kweli kwamba viongozi wa Tanzania wanapeana nafasi madarakani kwa kulipiana fadhira?
Je, watanzania tutaendelea kuchaguliwa viongozi wetu wakuu wa nchi mpaka lini?
Ni kweli Tanzania inafuata demokrasia ya kweli au ni propaganda na kiini macho?
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika wakati wa uchaguzi Mwinyi alishika uenyekiti na hatimaye kuwa Rais.

kaka hapana, me namtazamo tofauti na wewe kidogo.....kama upo nje ya nchi ukisoma habari za Internet utapata fikira JK kuwa hakubaliki TZ. Ukija nchini utapata hali tofauti, jamaa CCM hata wakimchagua nani, bado watashinda tu, CCM ni chama chenye nguvu sana bado Tanzania.Safari hii CCM wakitegemea kuwa mteule wao lazima ataukwaa uraisi, wawe macho maana wananchi wamechoshwa sana na JK.
Kama wakimteua Kikwete, wasije wakashangaa upinzani wakaibuka na mgombea imara anayekubalika na akapigiwa debe mpaka na baadhi ya wanaCCM.
Kikwete wa sasa ni mzigo kwa CCM na taifa.
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika wakati wa uchaguzi Mwinyi alishika uenyekiti na hatimaye kuwa Rais.
Baada ya hapo zikaja fununu nyingi tena kwamba nani kumrithi Mwinyi. Kukawa na majina mawili kati ya Mkapa na JK. Mkongwe wa siasa Mwl Nyerere alimshauri JK asubiri yaani amwachie nafasi Mkapa kwani JK alikuwa ni mdogo kiumri kuliko Mkapa! Mwl alimwakikishia JK kwamba yeye atafuata baada ya Mkapa. Mambo yalikuwa hivyo! Kweli sikuamini masikio yangu pale nilipokuja kusikia JK ndio katangazwa mrithi wa Mkapa na hatimaye kuwa Rais.
Baada ya hapo nilidhani labda ni kwa Marais tu kumbe hata mawaziri wakuu! Wakati JK alipochaguliwa kuwa mgombea urais nikasia tetesi kwamba Lowasa piga ua lazima awe waziri mkuu...nadhani wote mlijionea nani alikuwa waziri mkuu!!
Je ni kweli kwamba viongozi wa Tanzania wanapeana nafasi madarakani kwa kulipiana fadhira?
Je, watanzania tutaendelea kuchaguliwa viongozi wetu wakuu wa nchi mpaka lini?
Ni kweli Tanzania inafuata demokrasia ya kweli au ni propaganda na kiini macho?
Mmh... una uhakika that is reality? Maana unakumbuka masanduku yanavyopotea na kura kuongezeka na kupungua hasa huko mikoani... I think NOT!rais anachaguliwa na wananchi, lakini mgombea wa CCM anachaguliwa na mkutano mkuu wa CCM
Kwani zinazngezeka na kuopungua si kura za wananchi wale wale?Mmh... una uhakika that is reality? Maana unakumbuka masanduku yanavyopotea na kura kuongezeka na kupungua hasa huko mikoani... I think NOT!