Hata ww hujui kesho what will happen, vp kama mama akashinda mbona unalazimisha ni mbowe kushinda.? Nyie chadema mna matatizo sana ya akili.Acha bangi dogo hujui kesho what will happens
Ameshagombea tayari?Kwa hiyo kwa akili zako timilifu unaamini kabisa kwamba 2025 Mbowe ndio atatangazwa kuwa mshindi ?
Haeleweki Hawa, kesho utasikia mama anaupiga mwingi.Mtoa uzi anataka kuanzisha ugomvi; siyo Kamanda Lissu tena?
5000 ndogo, bado ni affordable kabisa ingekua 50,000 kabisa ili tuimbe kwa nguvu zote " mama unaupiga mwingi"Nachokipenda sasa hivi mtaani tunaongea lugha moja. Mfumko wa bei.
Mama shikilia hapohapo tunataka lita moja ya petrol iwe 5000+.
Mama upige mwingi zaidi tupo na wewe mwanzo mwisho. Ongeza na tozoya matibabu sisi wananchi wazalendo tunataka maendeleo ya haraka.
Chadema imehusika wapi hapo.punguza ujinga.Hata ww hujui kesho what will happen, vp kama mama akashinda mbona unalazimisha ni mbowe kushinda.? Nyie chadema mna matatizo sana ya akili.
Sawa mama kijachoChadema imehusika wapi hapo.punguza ujinga.