Rais wa Tanzania 2025 ni Freeman Aikael Mbowe

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
820
Reaction score
2,097
Kwa hali na mazingira ya sasa kiongozi mwenye nafasi ya kuchukua nchi 2025 ni Mbowe pekee. Kazi kwa wanamikakati kumbrand
IMG-20220409-WA0029.jpg
IMG-20220409-WA0024.jpg
 
Si ajabu 2025 ,akachukua mpunga afu akachill with big boys

#mama mitano tena
 
Nachokipenda sasa hivi mtaani tunaongea lugha moja. Mfumko wa bei.

Mama shikilia hapohapo tunataka lita moja ya petrol iwe 5000+.

Mama upige mwingi zaidi tupo na wewe mwanzo mwisho. Ongeza na tozoya matibabu sisi wananchi wazalendo tunataka maendeleo ya haraka.
 
Mnamdanganya sana mzee Freeman Mbowe. Endeleeni tu na hiyo chain yenu, suala la urais niachieni mimi.
 
Walete watu wapya Kuna kina Abdallah Safari Mabere marando akina MALISA GJ japokua sijaelewa Kama bado hajafikisha 41 wapo watu wengi sana wazuri tusirudie rudie watu
 
Acha bangi dogo hujui kesho what will happens
Unauhakika mimi ni dogo kwako ? Unapoona watu wanaanza kuongelea eti 2025 anashinda uchaguzi huku mfumo wa uchaguzi ni ule ule tangu mwaka 1995 na unazidi kuminywa na wenye mamlaka lazima uone kuna tatizo.

"Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.”

Mtaingia kwenye uchaguzi na matumaini ya ushindi, mtapoteza, kuna watu watapigwa na kuvunjwa miguu, wengine watapoteza uhai, mtasikia Mbowe na wadau wake wanaenda the Hague sijui hawakubali matokeo, halafu baadaye mambo yatapotea juu kwa juu. Tukingojea 2030. Tatizo ukiendeshwa na mihemko huwezi kuangalia mambo objectively bora mimi ninayevuta bangi lakini nimeshaelewa michezo inayofanywa na wanasiasa, angalau nimefanikiwa kuona utawala wa Rais Nyerere mpaka hivi sasa wa Rais Samia na hakuna dalili ya hicho "chochote" unachosema kutokea. Harakati za kuhalalisha matokeo ya uchaguzi zimeshaanzishwa na TCD na ripoti ya kikosi kazi kuhusu mchakato wa Katiba Mpya. Anyway tuendelee kushabikia tuombe uzima tuyaone ya 2025, labda safari hii angalau internet haitazimwa.
 
Nyie watoto wadogo hamjui chochote kuhusu Kesho endeleeni kukalili.
 
Back
Top Bottom