The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,283
- 49,324
Uzee wote huo alitakiwa astafu kitambo
Kustaafu na kufa wapi na wapi? Tunaongelea msiba haba.
Uzee wote huo alitakiwa astafu kitambo
Hii ilitokana na utaratibu wa Middle East to hapo, kutokana na hali ya joto miili huaribika mapema ndiyo sababu ya kuzika siku hiyo hiyo, baadae ndio yakawa mapokeo ya dini.
Huyu ikibidi azikwe leo leo
Nimekuja mbio nikifikiri Ni tangazo kuwa chama Cha chadema kimekufa