misaada yote ya kijeshi ilikuwa inatoka Israel na mpaka S Sudan ikakombolewa. Marekani ilikuwa imewasomesha mamilion wa raia wa S sudan kutoka primary mpaka university na mpaka leo inawasomesha vyuoni vikuu bure. Kitendo cha Raisi wa sudan kuitembelea Israel ni cha kiungwana sana na kuheshimu rafiki katika dhiki ndiye rafiki.
Baraka watakayoipata hawa S Sudan itatisha east africa. Usiombe kama muisrael akiamua kukupenda na kukusaidia. Ni mara nne ya marekani katika kujenga taifa masikini. waone kenya walivyo mbali ki uchumi. Najua mataifa ya kiarabau yataona donge na kuchukia sana kwa sababu wao wanadhani kila raisi africa ana tabia kama ya nyerere ya kupakata wapalestina na kuimba nyimbo za matusi kwa waisraeli.
Somali iliwatrain magaidi walioenda kuteka nyara ndege ya ufaransa iliyokuwa na abilia 126 wa kiisrael na kuilazimsha kutua Uganda mwaka 1976. Adhabu yake somalia hakukaliki na wala hakuna serikali. Iddi amin aliwasaidia magaidi hao kupata hifadhi na uwanja wa kuulia waisrael, leo hii kafia ugenini na alitimuliwa madarakani. Urrusi ilishabilkia wapalestina na kuwafunza ugaidi akina mohamed boudia na karlos na ukomusti uliwachukia sana wayahudi, leo hii ukomunisti umetokomea na Urrusi kuanguka kifo cha mende. Hitler alitaka kuwamaliza wayahudi wote kwa kuwachoma katika maoven ya sumu ya carbon Oxide, aliishia kuacha chai mezani na kujipiga risasi kwa hiari yake, ujerumani ikameguka na kutekwa na Urrusi na marekani.
Tanzania ilivunja uhusiano wa kibalozi na israel na kuweka palestina day ili kuwatukana wayahudi kila mwaka , leo hii haiwezi kabisa kujenga uchumi ingawa ina kila dhana kali za kuweka maisha ya raia zake juu kupita kenya. Ona mikataba ya kijinga ya kuchimba madini ambayo Jaji Bomani analia lia kuwa ni wageni tuu wanaofaidika kuliko sisi wenyewe. Je kweli wewe mwenye shamba la nazi unaweza kumuamini mkwezi aangaua nazi atakavyo halafu apeleke sokoni akauze halafu aje kukuambia kapata kiasi gani cha hela ili mugawane? sasa kama selikali inafanya mikataba hiyo, kama sio laana ya kuchukia wayahudi ni nini kingine?
Bila kumpenda myahudi duniani hapa, huwezi kucheza world cup, kujenga timu ya taifa imara , kukuza utalii na shilika lako la ndege kupata safari za kimataifa. Tafadhali tanzania peleka ubalozi Tel Aviv ili laana aliyotuachia nyerere ya kuchukia wayahudi isamehewe au sivyo hata hii uranium atafaidi mchimbaji kuliko mngoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1