Rais wa Russia: Sijawahi kumiliki Smart Phone

Kutokana na historia yake katika ujasusi Putin anafahamu kuwa matumizi ya simu janja.. Majokofu janja (smart refrigerator).. Runinga janja (smart tv).. Chipsets.. Operating systems.. Ndege zenye components toka nje ya Urusi… GPS.. Genetically modified foods… etc ni hatari kwa urusi kama taifa na yeye kama raisi.. Na ndo maana operating systems katika serikali na mifumo ya kijeshi ya Urusi si windows au iOS.. Ndo maana hawatumii GPS wanatumia mbadala unaitwa GLONAS.. ndo maana maafisa wa vitengo nyeti hawaruhusiwi kutumia iphones au androids (wana za kwako zinaitwa yotaphone).. Hawatumii antivirus zilizotengenezwa nje ya Urusi… ndege za raisi na viongozi muhimu zinatengenezwa na vifaa asilimia mia moja toka Urusi.. Ndo maana hawaruhusu vyakula GMO Urusi..

Hizo Yotaphones bado zina tumia OS ya android.......Je usalama hapo uko wapi?
 
Haaaa mkuu yaaan nmeandika huu Uzi kuhusu Putin nikausev ... Kumbe sote tulikua katika mawazo sawa!!.

Vizuri,, imenibidi nifatilie sana hii kitu ,nikagundua haya
Putin ndo Rais asokua na Account yoyote ile kwenye mitandao yakijamii.
Mke wake +watoto hamna anayemiliki account yoyote mitandaoni ... Watoto Wa Putin mpaka leo hawajulikan kabisa wapo wapi ? Wanafananaje ? Wanasomea nn? Wanafanya nn?? Hawajulikani !!.

PUTIN anaogopa hizi simu kwasababu wamarekan wanakawaida ya kuzhack kama walivyofanya kwa Bi Angela Wa Germany , lkn pia Wakat Rais Wa Russia ni Medvedev , walijarbu kuhack simu yake, kwabahat mbaya wakashindwa kuvuruga ulinzi ulowekwa kwa simu ya Jamaa !!.

Putin ansema "Hata simu ya nyumban inapoita huwa siipokei ,naacha inaliaaa tu".

Inadaiwa kua ,anapoitaj kuwasiliana ,huwa anatumia simu za watu wake tofauti tofauti !!.
Huyo ni zaidi ya jasusi
 
Miaka ya nyuma kulikuwa na taasisi ambayo ilianzisha program ambayo kila mwaka ilikitafuta best CEO's wa East Africa
Mojawapo ya Best CEO kwa EA alikuwa MANU CHANDRIA ambaye hakuwa akitumia cellphone kabisa
 
hatumii smartphone direct ila indirect anatumia kwasababu anasema kama anashida na kitu anawaambia wafanya kazi wake wamtafutie kwenye mtandao so sio kutumia huko?
 
Back
Top Bottom