Rais wa mwaka 2015 ni nani.?

Ph-25

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
1,148
1,500
Kwame Nkrumah alitoka
jela akawa rais. Nelson
Mandela nae alitoka jela
akawa rais. Pia Obasanjo.
Theodore Orji alitoka jela
akawa gavana. Omisore
Iyiola alitoka jela akawa
seneta. Al Mustapha
alitoka jela akawa
brigedia. Robert Mugabe
alitoka jela akawa waziri
mkuu, na baadae rais na
mpaka sasa ni rais.

Ndugu
yangu amini usiamini, rais
wetu mwaka 2015 ni
BABU SEA...

Siku njema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom