Rais wa mpito aapishwa Venezueala

Rais wa mpito aapishwa Venezueala

Ritz Unapambana sana aisee.

Ila ndo hivo raisi kanyakuliwa na hamna kitu wanamfanya Trump
 
Ritz Unapambana sana aisee.

Ila ndo hivo raisi kanyakuliwa na hamna kitu wanamfanya Trump
Mimi sipambani wanaopambana ni rais wa Venezuela, wanamsubiri Trump alete makampuni yake ya mafuta na meli zije kuchota mafuta hapo ndiyo mchezo unaanza siyo Gaza hapo .
 
Mimi sipambani wanaopambana ni rais wa Venezuela, wanamsubiri Trump alete makampuni yake ya mafuta na meli zije kuchota mafuta hapo ndiyo mchezo unaanza siyo Gaza hapo .
Sawa, muda ni mwalimu mzuri.
 
Wanaukumbi.

Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás Maduro.

Rodríguez, 56, makamu wa rais tangu 2018, alisema aliumizwa na kile alichokiita "kutekwa nyara" kwa Maduro na mkewe Cilia Flores ambao walikamatwa na vikosi vya Amerika katika uvamizi wa usiku wa Jumamosi.

Katika matukio ya kushangaza ndani ya chumba cha mahakama jijini New York saa kadhaa hapo awali, Maduro alisisitiza kuwa bado ni rais wa Venezuela huku akikana mashtaka manne ya ulanguzi wa dawa za kulevya na ugaidi.

Marekani imekosolewa vikali mkali Umojnaa wa Mataifa, lakini balozi wa Marekani alisema hifadhi kubwa zaidi ya nishati duniani haiwezi kuachwa mikononi mwa kiongozi haramu, " mkwepaji haki".
Kabla ya Maduro kufikishwa mahakamani, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya kikao cha dharura kujadili hali ya Venezuela.

Balozi wa Venezuela, Samuel Moncada, alisema nchi yake imekuwa ikilengwa na "shambulio haramu la silaha lisilo na uhalali wowote wa kisheria".

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz, alihalalisha shambulio hilo kwa kumtaja Maduro kama "rais haramu".

Source: BBC News Venezuela swears in interim leader after Maduro appears in court - BBC News
Huyo mama yupo hapo kama karatasi tu hawezi kuendesha hiyo nchi bila usa tayari mafuta ya venezuela hayauziki duniani mpaka kibali cha usa
 
Ufahamu siasa za Venezuela, wamefanya hivi makusudi kukwamisha mipango ya Trump ya kuleta Rais wake. Machafuko tayari raia hawataki Marekani wachuke mafuta yao.
Ila wanataka yachukuliwe na urusi na.china sio?
 
Safari hii wameingia chaka ule ujinga waliowafanyia Iraq na Libya, Venezuela kila raia ana silaha😅
Venezuela, Columbia na Cuba ina raia wakorofi, Wahalifu na vichaa....hawako soft kama Waarabu so Marekani ana kazi kwasasa
 
Back
Top Bottom