#COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden apona COVID-19

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,786
Yuko live mida hii Washington DC Akiutangazia umma wa U.S kwamba ame recovery ugonjwa wa corona.anashukuru kwa maombi amewataka watu waendelee kuchukua tahadhari ili kupunguza kuenea kwa virus vipya vya covid-19 amesema japo wengi wetu tutaendelea kuugua Corona pamoja na kuchukua tahadhari.ameongeza kwa kusema watu waondoe wasiwasi na hofu.vifo vingi vingeweza kuzuiwa Kama watu wangepima na kupigwa booster baada ya chanjo.

Anasema kuanzia leo watu wote wa marekani watapimwa covid Bure bila kutoa hata dollar moja.biden ataendelea kuwa karantini chini ya uangalizi maalumu.

Pia soma: #COVID19 - Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19
 
Huyu mzee ana gundu hii ni mara ya pili anakutana na hii kitu kitakachofuata kitamchomoa.

Anaongoza taifa kwa sera za kidemocratic kutaka dunia yote itambue uwepo wa mashoga hata wa-America wenyewe wameshamchoka.
 
Alichaguliwa kwa sera zipi?

Back
Top Bottom