Rais wa Liberia taabani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Liberia taabani!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Jul 6, 2009.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jul 6, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Sirleaf 'surprised' at ban call


  [​IMG]

  The president was at an African Union summit when the report was released

  Liberia's truth commission has called for President Ellen Johnson-Sirleaf to be barred from office - a decision her spokesman says is "surprising".
  The commission recommended a 30-year ban for Mrs Johnson-Sirleaf and dozens of other senior politicians.

  She has admitted that she had backed former warlord Charles Taylor's rebellion 20 years ago.

  The recommendations could become law if parliament, in which the opposition has a majority, decides to adopt them. The BBC's world affairs correspondent Mark Doyle says the report leaves the president - Africa's first elected female leader - in serious political difficulties.

  'Fooled' by Taylor

  The president was at the African Union summit in Libya when the report was released last week. Her spokesman, Cyrus Badio, told the BBC's Focus on Africa programme she was still reading the Truth and Reconciliation Commission's report and would respond fully later.

  "She will not be able to make an informed opinion until she can digest it, she can conceptualise it to see what the issues are," he said.
  "Of course it will come as a surprise to her but let's reserve judgement until she has read through the report."

  The commission was established four years ago with a mandate to "promote national peace, security, unity and reconciliation" by investigating more than 20 years of civil conflict in the country.

  In February the president appeared before the commission and admitted that she had believed Mr Taylor's rebellion against military ruler Samuel Doe in the late 1980s was necessary.

  The killing of Mr Doe in 1990 sparked more than a decade of violence between warring factions in which about 250,000 people were killed and the country left in ruins.

  Mrs Johnson-Sirleaf apologised to the commission for supporting Mr Taylor - who later became president himself, before fleeing the country. She said she had been "fooled" into supporting him, adding: "I feel it in my conscience. I feel it every day."

  Mr Taylor was eventually arrested on an international warrant and is currently on trial for war crimes in The Hague.


  BBC NEWS | Africa | Sirleaf 'surprised' at ban call
   
  Last edited: Jul 7, 2009
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hawa wanataka kurudishwa kuleee.
  wamarekani wakorofi kweli, hawaipi pumzi nchi hii ndo kwanza inapoa poa majeraha ya vita!
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu can you explain kidogo? What does America have to do with that report?
   
 4. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wasipoangalia kweli watarudishwa kuzimu? yaleyale ya kuadhibu watu kwa kum-support sadam ala! si ndio alikuwa rais?? angefanyaje?..
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  MwanaF1,

  Inaonesha tu wamarekani wana taka kufuta Makosa yao waliyoafanya katkia taifa hilo kwa kutengeneza mchafukoge wa kisiasa lakini mara hii wakiwa na hadhari kidogo.Itakumbukwa kuwa katik utawala wa rais W. R. Tolbert 1971-1980, ikulu ya Marekani ilishamuweka katika extermination list rais Tolber na walimtumia Samuel Deo kufanya mapinduzi ya kijeshi mwaka 1980 yaliyopelekea Tolbert kuuwawa.

  Ilidaiwa kuwa Tolbet aliuwawa na Doe lakini mwezi August,2008 Tume hiyo ya Ukweli na Maridhiano iliambiwa kuwa Tolbert hakuuwawa na Doe bali na Afisa wa CIA aliempiga risasi kitandani na kufa papo hapo, punde tu baada ya Doe kuipindua serikali yake.

  Vilevile ikumbukwe kuwa huyu rais wa sasa E.J.Sirleaf, wakati huo alikuwa ni waziri katika serikali iliyopinduliwa na Doe, yeye na cabinet members walichukuliwa wakapelekwa katika ufukwe na kupigwa risasi, ni yeye (Sirleaf) pekee aliyenusurika kiajabu na kadhia hiyo, na utaona kuwa katika kauli yake kwa tume anasema aliunga mkono wakati huo Samuel Doe alipoponduliwa.

  Vilevele ijuulikane kuwa wamarekani hawakupendezwa na kufichuliwa mbele ya tume hiyo kuwa CIA ilihusika kumsimika Doe na moja kwa moja katka mauwaji ya rais Tolbert, ambaye anatokana na ukoo mmoja na Sirleaf (ambaye alionekana kuishabikia taarifa hiyo).

  Matukio hayo yoote ndiyo yaliyopelekea taifa hilo kuingia au kuingizwa katika machafuko makubwa na mauwaji ya kutisha ya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu. Serikali ya Marekani kwa kuhofia pengine madai ya fidia kutokana uhalifu huo iliyousababisha na kutokana na kuhofia Sirleaf au serikali ya Liberia itataka kujuwa mengi zaidi kwa kadhia hiyo, inajaribu ku distabilize hali iliyopo.

  Hatari iliyokuwapo ni kwa Charles Taylor ambaye ana mengi ya kusema. Hofu ya baadhi ya wafuatiliaji wa siasa za eneo hilo kuw na yeye yasije yakamkuta ya ya Slobodan Milosevic na Foday Sankoh,waliofariki wakati wakiwa kizuizini wakijitayarisha kumwaga mboga badala ya wao kukosa ugali.
   
  Last edited by a moderator: Jul 7, 2009
 6. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ab-Tichaz umenichekesha sana na kichwa cha habari, ningekuwa sijaisoma hii habari kabla ya kuiona hapa ningelifikiria vingine.

  Junius, Marekani inainhia vipi dada kwenye mapendekezo ya hii tume, au basi tu brio maswala ya kutafuta mchawi?
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Clarification:
  Junius is not Rosa Luxemburge but Sir Francis Bacon.
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante kwa maelezo yako. Nilikua siyajui yote haya.
   
 9. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hii ni kwa ufupi sana fuatilia mpaka Sirleaf atakapo toa majibu yake na mpaka mwisho tume itaamua nini, nyuma ya pazia Ikulu ya Marekani ina monitor kwa karibu kinachoendelea. Yapo mambo mengi hapa kufichuliwa.
   
 10. M

  Mwanagenzi JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2009
  Joined: Sep 11, 2006
  Messages: 690
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  ...Ndiyo maana wamesema Charles Taylor atahitaji muda zaidi, hata miaka minne, kujiandaa kujibu mashtaka!? Atakuwa hai bado?
   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #11
  Jul 7, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mawazo yako yako mbali sana mkuu...LOL!!!:)
   
 12. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #12
  Jul 7, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  George Weah naye kachangia hamsini yake hapa....

  Liberia's opposition has called on President Ellen Johnson-Sirleaf to step down after the truth commission said she should be bared from public office.

  "The presidency has been brought to public disrepute," said Acarious Gray, from former footballer George Weah's Congress for Democratic Change party.

  However, Information Minister Laurence Brople said Mrs Johnson-Sirleaf was continuing to work as normal.

  The commission said she should be barred over her ties to Charles Taylor. Mrs Johnson-Sirleaf has always admitted that she had backed the former warlord's rebellion 20 years ago. The House of Representatives is due to debate the Truth and Reconciliation Commission's report on Tuesday.
  The recommendations could become law if parliament, in which the opposition has a majority, decides to adopt them.

  Mrs Johnson-Sirleaf defeated Mr Weah in a run-off in 2005 elections after the end of 14 years of conflict in Liberia.

  'No slap in the face'

  Mr Brople said the Liberian people had been aware that Mrs Johnson-Sirleaf had contributed money to Mr Taylor's campaign when they made her Africa's first elected female Head of State.
  "They decided to reconcile with her and they elected her president by popular vote," he told the BBC's Network Africa programme.

  "We don't see this as a slap in the face."

  The president was at the African Union summit in Libya when the report was released last week.
  President Johnson-Sirleaf's spokesman Cyrus Badio said the president was still reading the report but that "not every Tom, Dick and Harry, will call on the president to step down and we listen".
  The TRC published its report after touring the country for three years, hearing the testimony of tens of thousands of people affected by the country's 14-year civil war.

  Commission chairman Jerome Verdier told the BBC that he stood by the report, despite the controversy it has caused.

  "We did an honest job and we do believe that is the best for Liberia," he said.
  "Those recommendations, when implemented will bring healing and reconciliation."

  When she appeared before the commission in February, Mrs Johnson-Sirleaf apologised to the commission for supporting Mr Taylor - who later became president himself, before fleeing the country. She said she had been "fooled" into supporting him, adding: "I feel it in my conscience. I feel it every day."

  Mr Taylor was eventually arrested on an international warrant and is currently on trial for war crimes in The Hague.

  BBC NEWS | Africa | Liberia's leader 'should resign'
   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #13
  Jul 7, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Maelezo bomba sana na kama kweli huyu mama alipona kifo basi
  I see why she wanted Doe dead.
   
 14. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hawezi kumsahau Doe maisha yake yote. Lakini ninavyomtazama huyu mama namuona ana ujasiri wa ajabu kuliko viongozi wengi, anathubutu, haogopi changamoto wala hakati tamaa, haya yote huyaonyesha kwa vitendo. Fikiria badala ya kunusurika kifo kutoka kwa Samuel Doe, alikimbilia uhamishoni Kenya ambako alifanya kazi kama Mkurugenzi wa CITI BANK. Alithubutu kurudi Liberia kupambana na Doe katika uchaguzi wa "kimaigizo", Doe alimuweka kizuizi cha nyumbani na baadae kumfunga miaka 10 jela kabla ya kumsamehe na kumtaka ahame mara moja Liberia.
  Alikimbilia Marekani kuendelea na kazi za CITI BANK kama mwakilishi wao huko.
  Kilicho nistaajabisha zaidi,mwaka1996 alipopambana na Taylor katika uchaguzi mwengine wa kimaigizo na kushindwa kiduuuuchu tu (ingawa alijiisabu kuwa anauhakika kuwa alishinda uchaguzi ule) hili lilimkasirisha Taylor na alimshitaki kwa uhaini. Kwa suala la kuthubutu na Ujasiri, huyu mama ni shule tosha kwa yeyote katika uongozi. Yaani namvulia kofia kabisa.
   
Loading...